Ningependa kujua wanaopata nafasi katika Bsc hapo CoET au CoICT huwa wanakuwa idadi gani?
Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji.
Post kama hii ni ujinga mtupu.
we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d.
poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom.
Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu.
siwezi kubishana hoja na mwendawazimu kama wewe,nitaonekana chizi kama wewe.pole sana kwa kudisko udom jipange upya.