WANAOPATA NAFASI KWA KUPITIA EQUIVALENT ENTRY UDSM( CoET au CoICT)HUWA WANGAPI?

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
532
96
Ningependa kujua wanaopata nafasi katika Bsc hapo CoET au CoICT huwa wanakuwa idadi gani?
 
maswali mengine jamani inakua kama homework! hebu fungua website,chukua doc yenye list ya prospective students uanze ku-tally hao wa equivalent. ukishajumlisha utuletee jibu.
 
Ningependa kujua wanaopata nafasi katika Bsc hapo CoET au CoICT huwa wanakuwa idadi gani?

Jamani, Hili Swali si lakumuuliza Academic Master wa UDSM, maana sidhani kama mtu wakawaida anaweza kuwa na takwimu sahihi.
 
Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji.
Post kama hii ni ujinga mtupu.
 
Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji.
Post kama hii ni ujinga mtupu.

we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d.
 
we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d.

poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom.
Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu.
 
poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom.
Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu.

siwezi kubishana hoja na mwendawazimu kama wewe,nitaonekana chizi kama wewe.pole sana kwa kudisko udom jipange upya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom