wanandoa mnaenda GUEST HOUSE kufanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanandoa mnaenda GUEST HOUSE kufanya nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Apr 18, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  wanandoa na wasio wanandoa ;kuna kitu kidogo kinanichanganya iweje unaishi dar esalaama then mida ya mchana mnaenda kwenye guest mnaulizwa cheti cha ndoa mnaonyesha y????kwa nini msiende majumbani kwenu......
  ama kuna starehe tofauti wanandugu nihabalisheni ntashukuru na mimi niikingia hukonijue sehemu ya kuanzia
  weekend njema jamani
   
 2. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa wanandoa kuna mambo mengi yanaweza kuchangia. Moja, kufanya tendo la ndoa sehemu moja mara kwa mara hulifanya lionekane jambo la kawaida hivyo kuwakinai watu. Maeneo mapya na tofauti kama guest huongeza utamu wa tendo leyewe. Kumbuka guest mbalimbali vyumba vyake vimejengwa tofauti tofauti hivyo kuwapa radha tofauti wanandoa kulingana na vitu wanavyopendelea. Pia ukosefu wa nyumba umewafanya watu watafute mapali ambapo watafanya mambo yao kwa faragha zaidi. Hivi karibuni nilibaatika kulala guest moja kwenye chumba cha doubles .i. Chumba chao ni kikuwa na kina vitanda viwili. Kilichonishangaza ni kuwa ukiwa chumbani kama uko na mke wako, anaweza kwenda kuoga nawe ukiwa unamtazama kutokea sehemu yoyote ya chumbani kwa sababu kioo kikubwa ambacho ni transparent kimetumika kama ukuta. Kuna option ya kuweka pazia kama hutaki mtu aliye chumbani akutazame. Pia kunaguest huwa zinaonyesha mikanda ambayo hutoa mafunzo ya namna ya kufanya tendo la ndoa kwa staili tofauti hivyo inaweza kuwa ni sehemu ya kujifunza. Kumbuka majumbani wengi wana TV moja ya kushare hivyo ni vigumu kuiingiza chumbani. The list can go on and on
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwanini wasiboreshe mazingira ya nyumba zao na vyumba vyao ili ikidhi mahitaji yao hayo bwana andindile ?/ mama mia wewe umeolewa ??
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nyumba yao huenda ina chumba kimoja na sebule halafu kuna mgeni analala sebuleni njia iliyopo ni kumalizana mchana mkiwa nyumbani usiku mnapeana mzungu wa nne!
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kama je wamepanga chumba kimoja tu na wana watoto na dependants? Hiyo nyumba siyo yao hawawezi na si ajabu hawana hata huo uwezo.Wangekua nao wangejenga yao wenyewe.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,403
  Likes Received: 81,429
  Trophy Points: 280
  Wanaenda kuwaona ndugu zao toka mikoani waliokuja Dar kikazi ama kibiashara hivyo hawahitaji cheti cha ndoa :)
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Angalau wapange kulana uroda kila wiki ends unafukuza watoto wote na ndugu waliopo waende kutembea ili mpate nafasi ya kumegana. Maisha ya mjini nuksi
   
 8. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kubadilisha mazingira ni muhimu ili kuongeza ladha ya mambo yenyewe, na hii inapunguza hata migogoro ya ndani, uwanja mmoja kila siku unachosha, mnazoeana na kuzoea mazingira ikifika wakati wa libeneke hakuna kitu cha kukuvutia kila kitu cha kawaida ndio hapo watu wanapojenga vibanda vidogo!!! na ndio maana inahauriwa hata nyumba isiwe na arrangement moja kila siku inabidi unabadili mara kwa mara leo kitanda huku kesho kule mara zulia jekundu mara cream etc lakini kwakuwa ni wachache wenye uwezo huo basi hamna namna inabidi angalau tubadili kwa kwenda guest siku japo mara chache!!

  Lingine jamani extended family jumba kutwa imejaa hata ukitaka kumbusu mumeo jikoni huna nafasi mpaka usibiri umpatie timing chumbani tena usiku wakati kila mtu amelala!!
   
 9. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utaweza kuwapa nauli wote!! vipi na wale watakaokuja bila appointment, wanatime weekend ndio upo home!!! na wale watoto wa jirani wanaopita chini ya dirisha wakichungulia kama TV mmewasha, na joto nalo ambalo linwashawishi mshindwe hata kukaa huko ndani hali yakuwa pangaboy zimesimama either MGAO au mwenye nyumba anabana LUKU,
   
 10. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanaweza kuboresha lakini kama nilivyosema tendo la ndoa kila mara sehemu moja linakinai. Ndio maana kwa wengine kama watoto hawapo huweza kufanya tendo hilo sebuleni, jikoni hata ****** kama mazingira yake ni mazuri. Yote hufanyika ili kokoleza utamu.
   
 11. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Shy vipi kila mwanamke wamwuliza kama ameolewa, Prrety ulimwuliza na alivyokwambia hajaolewa ukamumwagia bonge la utenzi wa huba, na huyu mama mia naye unamwuliza swali hilohilo. Je ni kwa ajili ya kurirusha tu au ukomo wako wa kuoa ni wanne?
   
 12. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Kuitwa Guest House haimaanishi ni kwaajili ya wageni tu, na ndo maana zingine zinaitwa Lodge, Inn Park, Hotel, Resort, n.k. Lakini wajameni hiyo ndo mitoko yenyewe, mtoko hauishii kwenda kula chipsi, kusafisha nyota (kula kitimoto) au kula nyama na samaki choma tu, bali ni pamoja na kubanjuka.
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  raha ya tendo la ndoa ni kubadilisha mazingira, sio kila siku chumba hicho hicho tu. Na inapendeza zaidi kama mkiwa na mazoea ya kila weekend kutoka out na kwenda hotel kulala. Ndio maana inabidi tugundue kila siku kitu kipya ktk penzi ili kulifanya penzi lenu kila siku lioenekane changa.
   
 14. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Raha ya mapenzi ni kubadilisha mazingira sio kila siku sehemu moja mnachoka na mnakinai
   
 15. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,252
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  halafu kuna wale wengine huwa wanapiga mayowe kama wameona mwizi! nyumbani si mtahamishwa? bora guest ukitoka hakuna atakayejua ni nani alikuwa anapiga mayowe ila nyumbani kila jirani atajua leo mama nanihiii katoka kula tundi!
   
 16. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahahahaha....duuu ebwanaheeeeeeeeee kwani ngono ina tofauti gani na tendo la ndoa?.....haya mambo ya wanandoa kwenda guest au nyumba za wageni mie nadhani ni ngono na sio tendo la ndoa.....kwani mke au mume wa ndoa huwa hakinai hata ka amtafanya tendo hilo takatifu miaka 100 na sehemu hiyohiyo...tendo kama limebarikiwa linaongozwa na malaika wa MUNGU na utamu wake hauishi milele...sasa haoooo wanaotoka majumbani kwao kwenda kulana uroda ndio haoooo utaskia wanakula na tigo na mengineyo yani uchafu na wizi mtuuupu vyote ni machukizo kwa bwana....UZINZI NA UASHERATI NA NGONO YOOOTE ni kwenye ziwa la moto...hallleluyaaaaah
   
 17. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Guest mkipiga kelele za raha hakuna anayewajua ,Je katika nyumba za kupanga pale sinza inakuwaje ?
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Who Cares?
  Who Cares? is COZ WE DONT DIE WE JUST MULTIPLY
  Senior Member Join Date: Fri Jul 2008
  Location: JUPITER PLANET
  Posts: 57
  Thanks: 19
  Thanked 13 Times in 11 Posts
  Rep Power: 21

  Credits: 216,560

  Re: wanandoa mnaenda GUEST HOUSE kufanya nini?

  --------------------------------------------------------------------------------

  AMMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN

  NEEMA YA BWANA IWE NAWE ..............TUSOME 1WAKORINTHO 5:16
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...dah, tumeingiliwa!

  wakubwa, kuna ubaya gani wanandoa kwenda Guest House?
   
 20. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,672
  Trophy Points: 280
  My side its a very gud ideas kwenda kulala hotel au gest na mkeo ili kumuonyesha kwanza unamjal kwan mbona mlivyokuwa wachumba outing zilikuwa?na kwa nini sasa hivi hamna?
   
Loading...