Walale kama wanandoa.
wanandoa wanalala wamevaa nini!!!
Wanandoa kulala wakiwa wamevaa night dress kuna uzuri au ubaya gani? Naomba tujadili kwa mitizamo ya aina tatu:-
1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.
...hasa pale unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o
night dress inavalika na watu wote, sio lazima wawe wanandoa.
wenye ndoa walijibu sasa.tunalijua hilo,sasa mada inahusisha wanandoa!!!!!
wenye ndoa walijibu sasa.
wanalala na pampersndo wanajaribu kulijibu!!!!!et Mtoto halali na hela hivi mtoto analala na nini kwani
una experience Binti.comNalala na night dress ninapokuwa nimesafiri au mr amesafiri. Vinginevyo ni kupata joto la mwili wake full time bila kizuizi chochote katikati. Jamani kuna utamu wake kugusana na mwili wa mwenza wako unapokuwa usingizini, hasa pale unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o
Kuna night dress hasa za wanawake zinachangia kuongeza mihemuko. Waulize wanasaikolojia wa mapenzi watakuambia. Unapoliona t.a.ko au hips ikiwa kwenye transparent night dress kwenye chumba chenye mwangaza mdogo hasa wa rangi ya njano, pink au red akili inakuwa aroused zaidi na kufigure out its image and appearance in the mind. Ni kama chachandu kwenye mihongo ya kukaanga
Mimi nadhani nguo nzuri ni ile waliyokuja nayo duniani toka kwa Mungu.ulitaka walale wamevaa nini......
Mimi nadhani nguo nzuri ni ile waliyokuja nayo duniani toka kwa Mungu.
Ndiyo maana yake, wafundishe vijana nao waone jinsi tunavyofurahia maisha.ndio maana hata sisi tunalala kama hapo kwenye red!!!!!!!!
Yakhe hapo kwenye rangi nyekundu wataka umpe nini tena?Nalala na night dress ninapokuwa nimesafiri au mr amesafiri. Vinginevyo ni kupata joto la mwili wake full time bila kizuizi chochote katikati. Jamani kuna utamu wake kugusana na mwili wa mwenza wako unapokuwa usingizini, hasa pale unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o
Ndiyo maana yake, wafundishe vijana nao waone jinsi tunavyofurahia maisha.
Nalala na night dress ninapokuwa nimesafiri au mr amesafiri. Vinginevyo ni kupata joto la mwili wake full time bila kizuizi chochote katikati. Jamani kuna utamu wake kugusana na mwili wa mwenza wako unapokuwa usingizini, hasa pale unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o