Wanandoa Kulala na Night Dress

Wanandoa Kulala na Night Dress

Wanandoa kulala wakiwa wamevaa night dress kuna uzuri au ubaya gani? Naomba tujadili kwa mitizamo ya aina tatu:-
1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.

none of the above.

Ndoa haina formula. Wanalala vile wanavyoona kwao inafaa. Hata kama wanandoa wanaenjoy kulala na jeans nini nightdress ni vyema na haki.

Ni vile inavyowasisimua au ni vile wanavyoona ninvyema kwao
 
ulitaka wavae nini au walale vipi? unataka kikitokea cha kutokea usiku wakurupuke wakiwa uchi?

mkuu umenikumbusha kuna siku tulivaamiwa na kibaka usiku ktk nyumba tuliyopanga, mwenye nyumba akatoka km alivyozaliwa na bastola mkononi huku mkewe akimfuata nyuma na suruali bila kujali km hiyo nyumba anaishi na wadogo zake wa kike kibao ambao siku hiyo ndio walikuwa wakipiga kelele za mwizi, ni muhimu sana kulala walau ata na bukta
 
Nalala na night dress ninapokuwa nimesafiri au mr amesafiri. Vinginevyo ni kupata joto la mwili wake full time bila kizuizi chochote katikati. Jamani kuna utamu wake kugusana na mwili wa mwenza wako unapokuwa usingizini, hasa pale unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o

unanikumbusha mautamu na mpenzi amesafiri ujue. . . . yaani hapo hata kama alikuwa na hasira huwa zinayeyuka zenyewe.
 
hakuna kuvaa kitu , labda siku ya matukio maalumu kwenye 6x6 ndiyo mnabuni cha kuvaa.....
 
Nasikitika kua mitazamo umeeka kidogo
Ila kwa upande wangu wangu hakuna kuvaa hio night dress nalala na nguo zangu na madame wangu analala empty so nikihitaji mzigo nami najiemptisha nafanya kz
 
kwa kweli maadili ya kiafrika ni kulala na nguo like wamasai na baba anakuwa na nyumba yake.
 
simone_perele_nightdress.jpg

1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Tick
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Tick
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Tick
eva-pink-duck-to-size-product-main1.jpg

Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Joto bana!
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Depends on makubaliano na mitazamo ila ....
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Hii nzuri kuvalia ukweni hahahaha
huyu wa chini mbona anakaba hivo? hadi penalty...dah
 
Nalala na night dress ninapokuwa nimesafiri au mr amesafiri. Vinginevyo ni kupata joto la mwili wake full time bila kizuizi chochote katikati. Jamani kuna utamu wake kugusana na mwili wa mwenza wako unapokuwa usingizini, hasa pale unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o

likipitiliza kwenye kabaang itakuaje maana halina mabega lile
 
Nalala na night dress
ninapokuwa nimesafiri au mr amesafiri. Vinginevyo ni kupata joto la
mwili wake full time bila kizuizi chochote katikati. Jamani kuna utamu
wake kugusana na mwili wa mwenza wako unapokuwa usingizini, hasa pale
unapogeuka halafu dushelele ikakugusa t.a.k.o

hapo umenena sawa kabisa, nakupa tick tick, hiyo ndiyo furaha ya wanawake wengi. usiniulize nimejuaje wengi, mimi na Mungu wangu aliye sirini ndio tunajua.
 
Nıght dress ndo nını bana mımı na wıfe hıyo kıtu marufuku. Tunalala na bırth day suıts lıve mgusano 100%
 
Hii tabia ya kulala na night dress imenifanya nigombane na waifu, jana nimemtolea uvivu ni marufuku kufanya hivyo tena!
 
Back
Top Bottom