Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Last edited by a moderator:
safi sana Heaven on earth
Daah.....mkuu nipo sana! ni mishemishe za kujikwamua kimaisha sometimes zinabana. Salama pande za GRC?Well said mkuu... Mbona umeadimika sana?????
we yaani kuna sehem nimekuona unamwambia mtu umpeleke
sijui umpeleke wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I hope sio kumpeleka kilele cha mlima kilimanjaro,
heeee wapi apo? hebu nipe link leo nimepost sana humu lol
![]()
1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Tick
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Tick
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Tick
![]()
Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Joto bana!
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Depends on makubaliano na mitazamo ila ....
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Hii nzuri kuvalia ukweni hahahaha
Na wewe naye kwa kuchungulia vyumba vya wenzio, haya umetoka sangapi huku?we yaani kuna sehem nimekuona unamwambia mtu umpeleke
sijui umpeleke wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I hope sio kumpeleka kilele cha mlima kilimanjaro,
Na wewe naye kwa kuchungulia vyumba vya wenzio, haya umetoka sangapi huku?
Lunch mama, ndiyo nimerudi nikawa nakutafuta,nashangaa nakukuta chumba cha jirani.kwanza kwa nini umeniacha mwenyewe muda wote huo!!!!!
ulikuwa wapi!!!!!
humu ndani,mie nikamezea tu
https://www.jamiiforums.com/mahusia...mkoani-dodoma-na-kile-nilichoshuhudia%85.html
Ni kweli familia nyingi za kiafrika ziko hivyo. Mama hufanya kuwatoroka watoto usiku na kumfuata baba. Asubuhi sana baada ya kumalizana, mama hurudi kwa watoto.Wewe wa jana nin?
jamii nyingi za kiafrika ziko hvyo! Jaribu kufatilia mila na desturi za makabila mbali mbali hapa tz utaelewa.
Mkuu naunga mkono hapo kwenye red card.
Mmmmmh! hili kwangu naliona jipya kabisa, labda mimi uafrika wangu ni nusu!Ni kweli familia nyingi za kiafrika ziko hivyo. Mama hufanya kuwatoroka watoto usiku na kumfuata baba. Asubuhi sana baada ya kumalizana, mama hurudi kwa watoto.
Tatizo ni kwamba umekulia mjini.Hili kwangu naliona jipya kabisa, labda mimi uafrika wangu ni nusu!
Njoo kwetu utaona..! Mama anapata dose mara moja kwa mwezi tena kwa kuvizia kimoja cha fasta akiwa amesimama au kubend watoto wasisikie na kurudi kibandani kwake fasta,Mmmmmh! hili kwangu naliona jipya kabisa, labda mimi uafrika wangu ni nusu!