Wanandoa Kulala na Night Dress

Wanandoa Kulala na Night Dress

Mie mke wangu nshamwambia alale na jeans tatu na me navaa mawani nyeusi..
So kila nikimcheki naona km yupo chiu basi nahisi rahaaa
 
Wanandoa kulala wakiwa wamevaa night dress kuna uzuri au ubaya gani? Naomba tujadili kwa mitizamo ya aina tatu:-
1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.

A nice, light night dress keeps your partner guessing and a want to explore what is hidden inside. Pia inasaidia kutoa figure yako kisawasawa.
Most men love UNDRESSING their partners.
 
Back
Top Bottom