rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,888
- 9,692
Tafsiri nyingi!![emoji4] Huna haja ya kuwa na tafsiri nyingi kwa tukio km hilo ambalo lilikuwa linamuhusisha mwizi moja kwa moja. Unataka kusema hao askari walikuwa wana ride hiyo pikipk wakasimamishwa kwa nguvu na kunyang'anywa pikipik na ikachomwa,ivo tu yani... au sio. Unafeli mkuuMimi nimefuatilia tu hiyo video kupata tafsiri zangu nyingi tu, yale maneno ya wahuni walikuwa kwenye tukio sijayapa nafasi kwangu.
Vv