Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .
Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
Pita hivi panzi wwPolisi wanamaudhi sana..binafsi nkiona polisi kapata ajali namuongezea na tofafi kabisa...mxiuuuuu
Nchi ndio inatakiwa iwe ivi, maswala ya kuogopana yanatakiwa kuisha, ikitokea mzungu akamwaga bunduki na silaha za kutosha apa, ndio watajua kwa nini, watu walikuwa wanawaambia amani ni nzuri. Maana police watu wanawaogopa kwa sababu ya izo bunduki, sasa raia wakishamiliki, ndio watajua, maana kuna mitaa police hawatatia sura zao, maana watakuwa wakifika wanakula risasi za kutosha tuuuKipindi panya road wamesemekana wanapita ubungo si mlijifungia kwenye kile kabanda chenu!!!!
Kisicho na madirisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] keep dreaming.....1day yees sidhani kama utakua unatokwa mafua kama unavyotokwa sasa uliza wale mabikra/askari wa kike wa waliokua wanamlinda gadafi wako wapi
Kwani raia hawana bunduki? ??Nchi ndio inatakiwa iwe ivi, maswala ya kuogopana yanatakiwa kuisha, ikitokea mzungu akamwaga bunduki na silaha za kutosha apa, ndio watajua kwa nini, watu walikuwa wanawaambia amani ni nzuri. Maana police watu wanawaogopa kwa sababu ya izo bunduki, sasa raia wakishamiliki, ndio watajua, maana kuna mitaa police hawatatia sura zao, maana watakuwa wakifika wanakula risasi za kutosha tuuu
Princess of My own Kingdom[emoji41]Princess...my foot, wa Kingdom gani?
Huyo polisi ana akili timamu, sio chizi
Dogo unalialia nini.Mods pigeni ban huyu jamaa amepost uongo, hiyo piki piki sio ya askari ni mali ya RAIA amabae alituhumiwa kwa wizi wa piki piki.. Askari waliwaokoa ila piki piki ndio ikachomwa.
Uongo ukowapi.Mtoa habari acha uongo nilikuwa maeneo ya tukio hao ni wale vibaka wa uporaji na waliokolewa na polisi na pkpk ikabaki so ndio RAIA wakaichoma moto
Tuaache kuandika vitu tusivyojua ni hatar saana aiseee mtoa mada muongo kupitiliza
Hv kwa akili ya kawaida tu hao raia kweli wachome pikpik washindwe mpiga askar kweli hapo kama wlikuwa na nia ya kuua
Tuache kulichonganusha jeshi LA polisi na raia ni aibu saana kwa mtoa mada
Wa hilo tukio kusema piki piki ya polisi imechomwa moto wakati ni ya wajambaziUongo ukowapi.
Angethubutu kufyatua risasi asingesalimika.Makamanda kwa kujiongopea hamjambo. Huwezi hata kuona hiyo sio pikipiki ya polisi? Hapo polisi angefyatua risasi mngeanza oh polisi kauwa. Shukuruni polisi katumia busara sana.
Nani kasema wapi.Wa hilo tukio kusema piki piki ya polisi imechomwa moto wakati ni ya wajambazi
[emoji23][emoji23] pazi tunajuana kunguru wewePita hivi panzi ww
Inaonyesha weww ni polisi, tulia hivyohivyo kama unanyolewa.. hatuwakubali wala nin bora wale waasi wa kibiti wahamie kwwnu wawapasue tuuWakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .
Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
candiasis, kwa sasa ni vigumu sana kuchora mstari kati ya polisi na majambazi...labda mavazi ila si matendo na wakati mwingine hata kwa mavazi inakuwa vigumu sana kuwatofautisha. Kwa kauli ndiyo usiseme utadhani ni mapacha!Wa hilo tukio kusema piki piki ya polisi imechomwa moto wakati ni ya wajambazi