Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

Unajua hata unapokuwa umezoea kufiwa na jirani tuu siku zote huwa unakuwa na hofu na uwoga wakuiogopa maiti
Lakini msiba unapofika chumbani kwako ghafla unapata ujasiri mkubwa sana wakuweza kukaa na ile maiti sasa tunapokwenda Tanzania na watanzania wameanza kupata ujasiri wakukabiliana nao
 
Kiukweli tunakoelea Mungu tyu atusimamie
 
Inauma sana Upendo ulio anza kuludi Kati ya raia na jeshi letu la Police sasa unapotea ,Mungu atusaidie huu upepo uliotupata
 
Unajua hata unapokuwa umezoea kufiwa na jirani tuu siku zote huwa unakuwa na hofu na uwoga wakuiogopa maiti
Lakini msiba unapofika chumbani kwako ghafla unapata ujasiri mkubwa sana wakuweza kukaa na ile maiti sasa tunapokwenda Tanzania na watanzania wameanza kupata ujasiri wakukabiliana nao

You nailed it.
 
Pamoja na sifa alizopewa huyo askari ambazo kiasi anastahili kwenye hiyo video kuna sehemu kajisahau sana akatokea mtu kwa nyuma yake kama angekuwa na nia mbaya angemnyang'anya bunduki yake .
 
Wanaume Wa Dar OG!!!
Wakiamua kukiwasha wanakiwasha kweli kweli sio nyoronyoro hizo pipo
 
Pamoja na sifa alizopewa huyo askari ambazo kiasi anastahili kwenye hiyo video kuna sehemu kajisahau sana akatokea mtu kwa nyuma yake kama angekuwa na nia mbaya angemnyang'anya bunduki yake .
Ye mwenyewe alikiwa anajua hapo hakuna raia mwenye nia ya bunduki yake
 
Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .

Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
Sawa wapeni bubduki tuone kama watakuja kuomba msaada tena kwenu
 
Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .

Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
kwani nyie panya road mnawaweza?
 
Kama una silaha ya moto Na ukampiga mtu kwa sababu ya kuzuia mali, mpaka wakuelewe utakuwa umesota sana gerezani.

Silaha ya moto hupigwa kwa kutetea uhai, Na unayepambana naye awe na silaha pia.
 
Mkianza kuuana kama vile marekani wanavyouana kila kukicha muanze kutulaumu kwa kutoa silaha holela
Basi suala la kuwajibika na majambaz ni lenu manake mnapewa kodi za wananchi.....tofauti ilioko kati yenu na raia nyinyi ndio mmeileta na haina faida zaid ya hasara
 
Mnawaona siku hizi kwani bila sisi mngekuwa mnajifungia ndani mpaka leo
hahahaa.
usifikiri RAIA uwa tunawaogopa hao panya road.
ni ile tu kutii sheria za nchi.Ila tukiamua TUNACHINJA.
kwa kuwa mmejipa kazi ya kutulinda.na mnalipwa kodi zetu
KWANINI TUJISUMBUE.
ninyi mtafanya kazi gani?
 
Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .

Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
we mama si tunakulipa mshahara kwa kodiz zetu? Shubamiiiit
 
Back
Top Bottom