sufra
Member
- Dec 20, 2013
- 75
- 86
Hiyo si ndio jukumu Lao si wanajitolea bila malipo?Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .
Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi