Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,719
Reaction score
62,828
Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.

Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.

 
Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .


Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
Kipindi panya road wamesemekana wanapita ubungo si mlijifungia kwenye kile kabanda chenu!!!!
Kisicho na madirisha
 
Hali ya chuki imetamalaki na inachochewa kuanzia ofisi kubwa. Sasa hivi ukipatwa na ajali huku umevaa jezi ya say CCM au CHADEMA, Mungu akusaidie tu wanachama wenzio wawe karibu yako otherwise utapata shida. Ule utu, upendo, uvumilivu na utanzania wetu unamegwa na kuyoyoma kwa kasi ya ajabu sana
 
Wanaume wa Dar nao kujitutumua.
Ivi uyo Askari angesema ajihami ingekuaje? Sasa hivi social media's zote zingejaa mauaji.....

Basi hapo wenyewe wanaona wamepambaana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] askari mwenyewe yuko peke yake
 
Back
Top Bottom