Yaani chadema wanapenda kujivisha uzalendo na kutumia matukio yasioendana na siasa kujinufaisha.Hizo ndio habari wanazopenda kusikia na kusambaza mitandaoni.
Wamechoka na nini? Unajua kilichopelekea hilo tukio?Raia wamechoka!
Unaleta habari nusu nusu kama unakimbizwa,hao wanainchi kwa nini wamechoma pikipiki ya askari?,haiji akilini wamvamie mpaka wachome tukutuku yake bila kisababishiInasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.
Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.
Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.
Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.
Inawezekana pua ameona ni ujinga kutumia silaha maana Adam Malima alisababisha askari afyatue silaha, polisi wakampeleka mahakamani, ile kesi imeanza tu Rais akamteua kuwa RC Mara na kesi ikafa kifo cha mende.Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
Hiyo siyo picha ya mnato, ni video kama huamini kuwa ni halisi basi endelea kuponda maisha, wengine ndio tunaona umuhimu wa kuliombea hili taifa letu ambalo kuna watu wakubwa wanataka tufike mahali tuanze kuchapana na kuwindana wenyewe kwa wenyewe.Hii habari ya uongo asee na wabongo tusivyojua kufatilia mambo tunameza tu chochote tunacholishwa
heee kumbe nihapa hapa town ,safiiini karibia na elements bar oysterbay barabara ya haile selasie
Kwani kwenye hiyo video umesikia nin mkuu cha kukuaminisha hiyo habari mkuuHiyo siyo picha ya mnato, ni video kama huamini kuwa ni halisi basi endelea kuponda maisha, wengine ndio tunaona umuhimu wa kuliombea hili taifa letu ambalo kuna watu wakubwa wanataka tufike mahali tuanze kuchapana na kuwindana wenyewe kwa wenyewe.
Vv
Mimi nimefuatilia tu hiyo video kupata tafsiri zangu nyingi tu, yale maneno ya wahuni walikuwa kwenye tukio sijayapa nafasi kwangu.Kwani kwenye hiyo video umesikia nin mkuu cha kukuaminisha hiyo habari mkuu
Mimi namuokoa wa CHADEMA alafu wa CCM namshindilia na jiwe la utosi kulalaleeki afe tu..........Hali ya chuki imetamalaki na inachochewa kuanzia ofisi kubwa. Sasa hivi ukipatwa na ajali huku umevaa jezi ya say CCM au CHADEMA, Mungu akusaidie tu wanachama wenzio wawe karibu yako otherwise utapata shida. Ule utu, upendo, uvumilivu na utanzania wetu unamegwa na kuyoyoma kwa kasi ya ajabu sana
Princess...my foot, wa Kingdom gani?Wanaume wa Dar nao kujitutumua.
Ivi uyo Askari angesema ajihami ingekuaje? Sasa hivi social media's zote zingejaa mauaji.....
Basi hapo wenyewe wanaona wamepambaana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa maelezo hayo mkuuu bado sijaona mashiko,, coz raia waliiona silaha yake ila hawakumuogopa wala nini, walikuwa tayari kwa lolote pale...Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
Busara hasa, angetumia silaha na yeye angekuwa hatarini.Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.