Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.
Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.
Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.
Uhasama kati ya jeshi la polisi na wananchi lazima utafutiwe ufumbuzi wa haraka sana bila jitihada za makusudi madhara yake yanaweza kuwa makubwa.
Aliyasoma mazingirA, na kama angefanya hivo na yuko pekeake uhakika ingekuwa ndo mwisho wa maisha yake. Huwezi wazuia watu kula upande ukiwa pekeako na bunduki tu' tumeona mara kadhaa majambazi wenye silaha wakizidiwa na raia na kuuawa! Sembuse huyo polisi!!? Angepiga risasi angekuwa ametangaza vita"Naungana nawewe mkuu, sio jambo dogo kutumia busara kama alivyofanya huyo polisi kwenye kadhia kama hiyo, inawezekana angefyatua risasi hali ingekuwa mbaya zaidi.
Mmelishwa taarifa za uongo kwa lengo la kuhamasishana ujinga, Pkpk sio ya polisi, wao waliwaokoa watu 3 watuhumiwa wa uporaji Bodaboda ila Pkpk ikabaki ndio wakaichoma, makamanda mnatia kinyaa kwa uongo.Safi sana. Inabidi kuwakabili hawa na mauaji yao kwa Watanzania wasio na hatia yoyote ile. Wataua Watanzania wangapi kabla ya kuambiwa ENOUGH IS ENOUGH!?
Wanachukiwa na Watanzania wengi sana kutokana na udhalimu, unyanyasaji na dhuluma wanazowanyia Watanzania kila kona ya nchi yetu.
Mawazo mbadala, huyu polisi inabidi akashitakiwe for cowardice. imaonekana kuna mtu aligongwa na pikipiki ndiyo wananchi wakataka kuichoma lakini polisi kashindwa kuilinda. Angepiga hata risasi juu.Mimi binafsi siwapendi police kwa uonevu wao lakini huyu police katumia akiri sana tena mwerevu mno hilibidi apandishwe cheo
Ili aonekane bebi wake amsifie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo mengine yanachekeshaga sana
mwenye Red anavotafuta attention kwa nguvu
1day yees sidhani kama utakua unatokwa mafua kama unavyotokwa sasa uliza wale mabikra/askari wa kike wa waliokua wanamlinda gadafi wako wapiNdio tujue kuwa sio askari wote wabaya..tuache kujipandikiza chuki
Tukio lilitokea lini na wapi?Mmelishwa taarifa za uongo kwa lengo la kuhamasishana ujinga, Pkpk sio ya polisi, wao waliwaokoa watu 3 watuhumiwa wa uporaji Bodaboda ila Pkpk ikabaki ndio wakaichoma, makamanda mnatia kinyaa kwa uongo.
Huyo jamaa ni Zero Brain wakati yeye mwenyewe ata wa kusingiziwa hana..Kwa sasa yuko Busy na Wanawake waliozalishwa na kutelekezwa
Mimi najua lini na wapi muulize mleta umbea yeye akwambie kwanza.Tukio lilitokea lini na wapi?
Nitaendelea kuamini habari iliyoletwa mpaka ntakapothibitishiwa vinginevyo. Sina haja ya kumuulizaMimi najua lini na wapi muulize mleta umbea yeye akwambie kwanza.
hujitambui, nyie ndio mkiambiwa kuandamana mnakwenda bila kuuliza faida zakeNitaendelea kuamini habari iliyoletwa mpaka ntakapothibitishiwa vinginevyo. Sina haja ya kumuuliza
Ye haogopi kufa unadhaniMimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
tunaenda zimbabwe na romatanzania tunaenda wapi jamani?
Hamna cha wanaume wa mkoan bali mleta mada katoa kwa ushabiki na kuto pata ukweli wa habar hiyo na haikuwa pikipiki ya askar Bali ni waporaji wa boda boda ndo wenye hiyo pikipiki na walipigwa sana nusura ya kufa ndipo wakatokea askar na kuwaokoaWanaume wa mikoani walioenda Dar kutafuta ajira ya bodaboda wameliamsha dude,hahah