Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.
Kungekua na uwezekano, MODs wangeipandisha hii comment yako iungane na uzi. Umeandika kitu cha maana sana
 
Huyu Askari kaiva kabisa, hiyo pikipiki ni mali yetu wote kwa ujumla wake kwanini vijana wanafanya vitendo vya kihuni vilivyokithiri kisa wamechoka kuonewa hivi wale vijana wanajitambua Kweli? Inawezekana kina mapungufu lakini ile pikipiki inamakosa gani? Jamani tujadili bila jaziba wale vijana wanamambo yakijinga kabisa.
 
Sasa ajihami kwa lipi hapo...hao maaskari wemekuwa very professional..safi sana...wametumia busara na wamejihami kwa akili nyingi sana...hamna aliguswa wala kujeruhiwa..
Huyo askar hata sjamuelewa ,hajasoma kweny penal code self defence? Inatakiwa utumie wap na kwa muda gan? Kusema kwel m. Nngekua mpiga kwata ckubali Mali yang iaribiwe kwa ujinga kudadake mtu...uchome piki pik angu mm na nna SMG yenye Karanga za kutosha nngewagaia za juu kwanza aisee!!
 
Wakivamiwa na majambazi,panya road wasianze kulia lia kutupigia simu na kutuomba .


Hizo nguvu walizotumia kuchoma pikipiki wazitumie kuwazuia wakorea weusi ,panya road na majambazi
Dogo ww c una dvn 4 ya 28 na unataka kugoma kwa kazi iliyo APA kuifanya ? Kua makin ukifukuzwa kaz utaenda wap na dvn 4 yako ya 28 .Fanya kaz kwa uadilif sawa bwana mdog??
 
Mtoa habari acha uongo nilikuwa maeneo ya tukio hao ni wale vibaka wa uporaji na waliokolewa na polisi na pkpk ikabaki so ndio RAIA wakaichoma moto

Tuaache kuandika vitu tusivyojua ni hatar saana aiseee mtoa mada muongo kupitiliza

Hv kwa akili ya kawaida tu hao raia kweli wachome pikpik washindwe mpiga askar kweli hapo kama wlikuwa na nia ya kuua

Tuache kulichonganusha jeshi LA polisi na raia ni aibu saana kwa mtoa mada
Hapo nmeelew sasa maana mm nashangaa piki pik inapigwa jiwe na wala haimshtui huyo askar ,na mnasema ni ya kwake!! Nkasema mm siwez hyo biashara mtu apige piki pik angu na waichome moto mm nawachekea na nna slaha!!??
 
Mimi kwa mawazo yangu nasema huyu askari ameonesha busara kubwa sana. Ingekuwa ni wale fyatu angeweza kuua hata watu wanne au kumi na kusingizia kuwa walikuwa wanamzuia kufanya kazi au walikuwa wanataka kumnyang'anya silaha. Lakini pamoja na kuchochewa hasira amesoma mazingira na kuona ataumiza na kuwa watu wasiokuwa na hatia akaamua kuacha kutumia silaha tena hata hakufyatua hewani kuwatawanya. Ningekuwa mkuu katika jeshi la polisi ningempandisha cheo. Huyu amejua maana ya upolisi ni zaidi ya silaha na combat. Watu wa haki za binadamu wanapaswa kumpongeza sana huyu askari. Askari wengine wakiwa na bunduki hawakawii kufyatua hewani kuelekea kwa watu. Kwakweli huyu askari amenivutia sana ukiacha labda kosa alilofanya labda kusababisha ajali au chochote kile. Tungekuwa na askari wengi wa aina hii leo David Mwangosi na Akwilina Akwilini wangekuwa hai. Lakini bahati mbaya miongoni mwa polisi wapo fyatu wasiokuwa na akili na busara kabisa wao wanajua kufyatua risasi tu bila kujali nani atakufa au kuathirika. Hongera sana askari. Ndiyo maana mwananchi mmoja akasema KUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA TAKA TAKA. Huyu ni polisi kweli kweli sio taka taka kama wale waliouwa na kujeruhi wananchi wasiokuwa na hatia.

Facts
 
Safi sana. Inabidi kuwakabili hawa na mauaji yao kwa Watanzania wasio na hatia yoyote ile. Wataua Watanzania wangapi kabla ya kuambiwa ENOUGH IS ENOUGH!?

Wanachukiwa na Watanzania wengi sana kutokana na udhalimu, unyanyasaji na dhuluma wanazowanyia Watanzania kila kona ya nchi yetu.

Mi mtanzania lakini siwachukii
 
Ngoja siku moja wamtandike mtu wako wa karibu na risasi au wambambikie kesi mbaya sana ya kifungo cha maisha au kucheza lupango kuanzia miakia 20 kwenda juu. Ndiyo utajua kwanini hawa watu matendo yao yanawajengea chuki kubwa sana katika jamii ya Watanzania. Mbona JWTZ hawachukiwi kama hawa?

Mi mtanzania lakini siwachukii
 
Back
Top Bottom