- Thread starter
- #201
Hajui kuwa wachora dili wengi wao ni polisi, ni mara ngapi bunduki za polisi zinakamatwa kwenye matukio ya ujambazi.candiasis, kwa sasa ni vigumu sana kuchora mstari kati ya polisi na majambazi...labda mavazi ila si matendo na wakati mwingine hata kwa mavazi inakuwa vigumu sana kuwatofautisha. Kwa kauli ndiyo usiseme utadhani ni mapacha!