Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Blaza unaleta picha za insta tena?? Kweli nyie wagonjwa! Tena picha zenyewe sio kwamba ni za hapo kwenye location. Mtu anapopost akashea location huwa anasgea location alopo na sio necessarily iwe mahali alipopigia hiyo picha.

Sasa kama zipo si mzipige picha mtuletee?? Kwani shida nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni washamba Sana hata hawaifahamu Instagram vizuri.na matumizi yake.waje Kwa wahaya tuwafundishe kutumia
Huo mtandao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni washamba Sana hata hawaifahamu Instagram vizuri.na matumizi yake.waje Kwa wahaya tuwafundishe kutumia
Huo mtandao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasubiri ziara yangu vijijini huku Bukoba. Nitakuwa napiga picha halisi zisizo na kushkeli wowote na kuweka location kiasi kwamba mtu hata akienda atafika na kuona. Naapa mbele yenu sitahamgaika na mahoteli na gest kama hawa wenzetu, nitajikita kwenye nyumba za wananchi wa kawaida wa vijijini. Mniombee tu

Mi nitaenda misenyi huko ndani nikija kuhiji nyakijooga lazima niletee picha za kutosha .vip mkuu upo bk.kama upo bk ujenzi wa shopping mall pale mbele ya Victoria hotel umefikia wap? Maana sio Kwa mghorofa ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewadharau Sana wachaga tangu leo.ni washamba Sana hawajui kutumia hata Instagram.na eti shule ya ghorofa vijijini ni kitu cha kujisifia wakati bukoba zipo mpaka ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hujui wakitoka wasukuma kabila linafoata kwa ushamba ni hawa wenzetu!?? Na wakija mjini ulimbukeni sasa na kile kiswahili chao chenye mawimbi ya kushuka na kupanda utafikiri wanaimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nitaenda misenyi huko ndani nikija kuhiji nyakijooga lazima niletee picha za kutosha .vip mkuu upo bk.kama upo bk ujenzi wa shopping mall pale mbele ya Victoria hotel umefikia wap? Maana sio Kwa mghorofa ule

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaahhh!! Kumbe ile ni shopping mall!?!?? Sijuagi aisee. Naona jamaa wamefika mbali aisee. Nitafika Juma3 maana nina shida mkoani pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwisha kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama Haya mabasi ya Mzee kareju mmiliki wa kemebos ni kufuru tupu.
46707256_575961549519271_1307104839346397487_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasubiri ziara yangu vijijini huku Bukoba. Nitakuwa napiga picha halisi zisizo na kushkeli wowote na kuweka location kiasi kwamba mtu hata akienda atafika na kuona. Naapa mbele yenu sitahamgaika na mahoteli na gest kama hawa wenzetu, nitajikita kwenye nyumba za wananchi wa kawaida wa vijijini. Mniombee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
piga picha nyumba yako utuletee sio za wenzio
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukitaka kuwa muongo jitahidi kuwa makini. Kuna ndugu yetu anaweka picha za Instagram zikionesha ni za huko Kilimanjaro. Naomba nimuumbue hapa waziwazi. Picha na location inayoonekana havina uhusiano hata kidogo, kwa maana picha inaweza kuwa ya Dar huku location ni Moshi. Mfano mdogo tuangalie kwenye hizo picha hapo chini, hakuna eneo linalofanana na hilo huko nshamba muleba BUT location inaonesha ni nshamba muleba.
Ndugu zetu wachagga mnatia aibu
Nadhani baada ya post hii wachagga hamtaonekana tena humu View attachment 1018192View attachment 1018193
Picha zote za Machame na Marangu mazingira yanajionyesha..

Sasa hapo mazingira yanasupport kuwa ni Kagera?

Niletee picha moja tu niliyoleta ambayo haijionyeshi ni mgombani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom