Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Ni nyumba ya Nani? kijiji gani? Kata gani?na je vijiji vya moshi hata mgomba haupo.au sie hatujui moshi mi nawachora Tu wakati ujombani ni rombo napafahamu vzr.huyo amekuambia ni ya Nani .kama ni lodge tuambie inaitwaje.kitu ambacho mnashindwa kujifunza Kwa wahaya ni kujisifia ukweli na Kwa fact yaani kama unamchukia mchukie lakini kasema ukweli.sio uongo uongo kama mnavyofanya mmefanana wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanatuchosha tu hapa. Wataishia kutupa picha za instagram za wadada, na za mahoteli tu. Hakuna picha ya nyumba yenye mazngira halisi ya kijijini. Ni upuuzi kubishana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukitaka kuwa muongo jitahidi kuwa makini. Kuna ndugu yetu anaweka picha za Instagram zikionesha ni za huko Kilimanjaro. Naomba nimuumbue hapa waziwazi. Picha na location inayoonekana havina uhusiano hata kidogo, kwa maana picha inaweza kuwa ya Dar huku location ni Moshi. Mfano mdogo tuangalie kwenye hizo picha hapo chini, hakuna eneo linalofanana na hilo huko nshamba muleba BUT location inaonesha ni nshamba muleba.
Ndugu zetu wachagga mnatia aibu
Nadhani baada ya post hii wachagga hamtaonekana tena humu View attachment 1018192View attachment 1018193
Wakisikia wahaya Wana akili proof ndo kama hizi .nilitaka niseme hivyohivyo useme umeniwahi. Yaani hawa watani wetu hawana akili kabisaaaaaa .yaani wanamda mrefu kutufikia wahaya . Anatuletea picha za Instagram, Facebook vitu vya kuedit .nilikuwa nawaheshimu wachaga sasa na wadharau kabisa kama id yangu.fisadi na luambo pokea hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli unatia huruma eti kata moja,mna ubavu gan nyie maskini? Huko misenyi kumepooza pale kyaka nashangaa watu wanafanya manunuz jumapil kwa jumapil tu cku nyingn zote kumepoa alafu ndio uniambie eti kata moja mnachangia 150m hahaha mna huo ubavu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unabishana na vyanzo vya kuaminika?? Utakuja kubishana na radio wewe!

Sasa Missenyi Kyaka mjini pale unapopita pakiwa pabovu inaizuia nini kata ya Ruzinga iliyoko ndani huko kuchanga na kufanya maendeleo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakisikia wahaya Wana akili proof ndo kama hizi .nilitaka niseme hivyohivyo useme umeniwahi. Yaani hawa watani wetu hawana akili kabisaaaaaa .yaani wanamda mrefu kutufikia wahaya . Anatuletea picha za Instagram, Facebook vitu vya kuedit .nilikuwa nawaheshimu wachaga sasa na wadharau kabisa kama id yangu.fisadi na luambo pokea hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha we naturally intelligent!!!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukitaka kuwa muongo jitahidi kuwa makini. Kuna ndugu yetu anaweka picha za Instagram zikionesha ni za huko Kilimanjaro. Naomba nimuumbue hapa waziwazi. Picha na location inayoonekana havina uhusiano hata kidogo, kwa maana picha inaweza kuwa ya Dar huku location ni Moshi. Mfano mdogo tuangalie kwenye hizo picha hapo chini, hakuna eneo linalofanana na hilo huko nshamba muleba BUT location inaonesha ni nshamba muleba.
Ndugu zetu wachagga mnatia aibu
Nadhani baada ya post hii wachagga hamtaonekana tena humu View attachment 1018192View attachment 1018193
Hivi mtu na akili yako unaweza kutumia evidence kutoka insta kweli?? Kuna wakati nafikiri aina ya watu tunaobishana nao sio level yetu kiakili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha insta haijawahi muacha mtu Salama
Cheza n'a vitu vyote sio teknolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni wajinga kweli habu tazama hiyo picha ya huko insta je hapo ni nshamba? hivi na akili zenu insta na Facebook ndo source ya pictures.mnamuaibisha Sana mama yangu mchaga WA rombo
tapatalk_1549737575803.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa. Kujitambua tu tunajitambua tangu Zama maendeleo %70 huletwa na wananchi. Halafu serikali inaunga mkono. Mimi mwenyewe. Nilishajitolea kujenga zahanati. Madarasa na upanuzi wa barabara za mitaa hufanya hizo kazi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naifahamu Kilimanjaro vilivyo pamoja na watu wake yani nje ndani. Sifa zinazo mwagwa hapa ni tofauti na uhalisia wake mfano barabara zipo nyingi sana zisizo pitisha magari kipindi cha mvua tofauti na tambo za wazawa, vijana wengi ni mafundi wa ujenzi vilevile wabeba mizigo ya watalii wanao panda mlima. Kiufupi ni pa kawaida kabisa in case hujawahi fika.
Acha ulofa na kwako kukoje na wivu wa kichawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli umelewa rubisi
Yy kasema ataenda location hizo machame,kibosho,vunjo, marangu na rombo kuwaletea nyumba za makaz zaidi ya hizi. Ili mridhike yaan mchaga aishi nyumba mbovu?
Nyumba na mabanda ya mabanzi yapo bukoba mjin katikati ya mji haya hapaView attachment 1018233

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu akili aliyonayo mhaya Mungu ndo anajua.mbona vijijini umepakimbia mkuu au unataka turudi bukoba mjini ? Hebu tazama kaitaba stadium hapo
1c6458a30aa25a8d77d5a6203077eeb7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom