Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wewe unataka kubisha hapa sio Muleba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkataa kwao mtumwa

Alafu mbaya zaidi, huyo aliyefake location ni muhaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaonyesha ni kwa jinsi gani mnapenda kufake sana..View attachment 1018397View attachment 1018398View attachment 1018399

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani tazama vijiji wanavyopita hao maccm .check mandhari na ubora wa nyumba.
Screenshot_20190210-000753.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkajenge kwenu sasa, na cement ya elfu 9 bado tunawagaragaza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee mna kazi kubwa
We ndio umechanganyikiwa haswaa,nyie ndio mkajenge kwenu maana mhaya hathamini kwao
Mchaga Cha Kwanza huwa anajenga kwao
Ndio maana Kilimanjaro Ni mkoa wa pili kwa makaz bora n'a gdp kubwa kwa wananchi wake
Pole Sana mkuu mweleka mliopigwa Leo hamtausahau
Hapa Ni machame utadhan Paris ufaransa
tapatalk_1549736927407.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanatuchosha tu hapa. Wataishia kutupa picha za instagram za wadada, na za mahoteli tu. Hakuna picha ya nyumba yenye mazngira halisi ya kijijini. Ni upuuzi kubishana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wahaya acheni kuchekesha umati Yan picha inajieleza kbs afu mnaweweseka? Hii ni marangu utadhan ulaya na bado
tapatalk_1549737052988.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro hauna aibu jimbo zima mnataka ligi na kata moja?? Na hizo hela za km 6 mnazoziema sio justifiable!

Sent using Jamii Forums mobile app
Km 6 za kitu Gan?
Jimbo Zima barabara zipo kwenye ukarabat na upanuz Sasa hizo km 6 unazosema Ni zipi?
Nyie Ni maskini wa kutupa ki milion 150 kwa bilion 7 ni uchafu polen mjilinganishe na kigoma ndio maskin wenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakera!! Tuangalie hiki alichokiweka mleta mada, kama kuna kasoro tuchambue hapo. Kama kuna mabingwa wa kupiga picha za maendeleo kwao na kuposti, basi waanzishe uzi wao warumbane huko.
Mkuu Hawa wahaya ndio wenyewe wametaka tuwape picha hizo wakaanza wao kupost vigofu vyao na CC tukawajibu sasa lawama za nn? Waombe msamaha la sivyo tutaxd kuwaumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakisikia wahaya Wana akili proof ndo kama hizi .nilitaka niseme hivyohivyo useme umeniwahi. Yaani hawa watani wetu hawana akili kabisaaaaaa .yaani wanamda mrefu kutufikia wahaya . Anatuletea picha za Instagram, Facebook vitu vya kuedit .nilikuwa nawaheshimu wachaga sasa na wadharau kabisa kama id yangu.fisadi na luambo pokea hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Insta haijawahi muacha mtu Salama
Vipi hapa sio marangu ? Hivi nyie watu mjue mnanivunja mbavuView attachment 1018472
tapatalk_1549736941247.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unabishana na vyanzo vya kuaminika?? Utakuja kubishana na radio wewe!

Sasa Missenyi Kyaka mjini pale unapopita pakiwa pabovu inaizuia nini kata ya Ruzinga iliyoko ndani huko kuchanga na kufanya maendeleo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Utetez hafifu vi milion 150 kwa mwaka cc bilion 7 kwa mkupuo polen sana ndio mjue mchaga ni pesa pesa ni mchaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu na akili yako unaweza kutumia evidence kutoka insta kweli?? Kuna wakati nafikiri aina ya watu tunaobishana nao sio level yetu kiakili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hapa sio machame ? Unajua mnachekesha huon kbs mlima Kilimanjaro ?
Insta haijawahi muacha mtu Salama
Picha zote za insta ni halisi na ni source of information polen mmeaibika vibaya
tapatalk_1549736941247.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo uwezo wao mkuu wasamehe tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vi maskini bana yaan vi 150m kwa mwaka ujifanananishe na bilion 7 kwa mkupuo ? Hivi nyie watu mmesoma walau hesabu? Nyie ni washamba hatari
Nilikuwa kule muleba kipindi fulan jamaa akanunua ki corola chalé chá model ya 2000 tsh milion 3 Basi yule jamaa alikuwa anatamba hatr ndio nikajua kumbe wahaya kinachowasumbua ni ushamba hawajui hivyo ci Corolla kule uchagani huvikuti hata kimj vishakuwa out dated na kinachosababisha muwe washamba Ni kutotembea mhaya unakuta kazaliwa kagera kasoma kagera anafanya kaz kagera kwa Hali hiyo ushamba hauepukiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom