Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

daaah mkuu umenitoa chozi hawa jamaa wakali kwanza joslin,mac kamua very sad hawakustaili kapu.

Nimewasahau kidogo wakali kwanza, Joslin ndo yule dogo kichwa duara aliyeimba sana kwenye ile track ya natamani, au ndo yule singer N rapper aliyeimba njoo basi mpenzi??
Wa njoo basi mpenzi anastahili kapu, alibahatisha ile track, ila wa kichwa duara ana voko kali, hakustahili kapu!
 
Mtazamo wangu.
-Vanessa Mdee anachoimba, nilishakisikia toka kwa Aaliyah, Brand na Monika wa marekani, yeye kaongezea tu swanglish kidogo!! Kwa mimi, ngoma zake nimeweka kapuni.
-Shetta, mleta mada yuko sahihi.
-Kala Jeremiah, anajitahidi ila flow yake kwangu imegoma. Hana nukta, wala koma! Style hii hainibambi.
-Recho namkubali sana, tatizo kakopi pesti kila kitu kuanzia image, mauno, hadi sauti. Ray C lives through her. Angetoka kivyake.
-Feza sisikilizi hata nyimbo zake! Nilisikiliza moja, nikaweka nukta.
-kwa ujumla THT nawakubali, ila hawapewi heshima wanayostahili, kina Amini, Ditto nk.
 
Nimekusoma kaka, wadau wengi sana wamenipinga juu ya vanesa a.k.a vee money kuwa katka hii list, nakubaliana na 'construction' critisims thenu.

Mi napinga! Mdee nyimbo zake ni za kimarekani. Nyimbo zake uswaz hazina mvuto.
 
lady jaydee sijui anatumia nini kuushawishi uma wa watz kuwa ni legendary...nilipenda collabo zake tu na kina FA,Kiba,Prof j nk akisimama mwenyewe ni yiii...iiii...iiiii ni majanga.

Inasikitisha Ray C aliingia kwenye sembe, ila hiki ndo kilikuwa kiti chake!! Jay D anakalishwa ktk hiki kiti sababu ni 'role model' mzuri. Ndio ni legendary, ila The Queen alikuwa na angestahili Ray C.
 
Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.

Jide hana voko, banana na Ditto ni killers, wako poa!! Banana akiimba, unasikia kabisa sauti yake inavyopita ktk koromea lake bila kipingamizi. Ditto kiumbe mwingine huyo!
 
7.KALA JERIMIAH huyu nae sielewi anatembelea nyota gani? hata ile ngoma ya dear GOD ni beat tu ya dee classic ndo
iliyom beba ..hata hii ngoma aliyoitambulisha juzi 'simu ya mbali' km sikosei ni kaama dear GOD na yale ma vina yake!!!


Dear GOD hata mashairi yake mazuri , Bonge la Idea. Hiyo nyimbo ni Nzuri
 
ni kweli wakali wanatisha, mi inaniuma kuwakosa mandoyo na domokaya hawa jamaa wako vizuri saana,

aaah! Dah! Mazee, Man Doyo na Domokaya, walikuwa na staili yao pekee! Nawamiss sana hawa. Kile kitu chao, ....baba mbona ukanikimbiaaaa aaah..... Maisha magumu ndo yalomchocheaaaaa......! Namiss old school mbaya!!
 
aaah! Dah! Mazee, Man Doyo na Domokaya, walikuwa na staili yao pekee! Nawamiss sana hawa. Kile kitu chao, ....baba mbona ukanikimbiaaaa aaah..... Maisha magumu ndo yalomchocheaaaaa......! Namiss old school mbaya!!

Mkuu hata dogo linex linenga namkubali sana anavyo lalamika!Kizazi cha kina makamua,Q jay na joseline sijui nini kiliwatokea walifanya vizuri sana kipindi kile!
 
Jide hana voko, banana na Ditto ni killers, wako poa!! Banana akiimba, unasikia kabisa sauti yake inavyopita ktk koromea lake bila kipingamizi. Ditto kiumbe mwingine huyo!


Banana analazimisha kuimba kwani hana sauti nzuri wala nyimbo nzuri.
 
#Shetta hajui kuimba na hana kipaji kabisaa uko sawa mtoa mada hana lolote yule bila kumueka diamond hatoi nymbo kali!!
Kla nyimbo akeeeee,maraa shee..sheee.shee.!!Amna kitu yule...nachukia sana kuona wasanii wenye vipaji hawapati Airtime daah;

1.Mandojo & Domokaya (nawaona kweny show za bei chee...walete ngoma mpya tuone)
2. Q jay (sjui kaacha kuimba?)
3. Nikki Mbishi & One the Incridible( Bongo Hiphop kings)

#Heshima Yako FID Q nakuelewa sanaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ishu ni kwamba wasanii wengi mara ya kwanza kwenda studio wanatoa ngoma kali,wanajituma kutengeneza wimbo wa kwanza ili wahit,wakishasikika kazi zinazofuata wanalipua tu
 
Back
Top Bottom