Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

FEZA KESSY
Anajitahidi kiasi chake katika music na sio magumashi kama unavyosema na sio kuwa yupo kimya ana wimbo mpya unaitwa MY PAPA, tafuta uuckilize then bring back feedback

SHETTA
anajitahidi sema nini mkuu sio kila msanii anaweza kufanya kila kitu mwenyew so mara nyingi watu wa aina hiyo hutafuta wasanii wenzao ambao wanaona wanafit wakiwa nao
tafuta KEREWA ya shetta

VANESA MDEE
sikiliza ngoma yake ya CLOSER au COME OVER au tafuta nyimbo za DJ CHOKA utamuelewa

WASANII WA THT
wengi wao wanajitahid mana wame boresha vipaji vyao kwa kujifunza darasani mfano mwangalie ditto wa sasa na yule wa zamani. msanii PIPI nilitokea kumkubali sana mana yupo talented sana na sauti yake plus macho yake mie hoi
NB:ukiona msanii kapotea au yupo kimya usifikiri hawezi sanaa, ila kuna baadhi wanafanya kama kazi na kuna wengine ni kwa starehe tu, so hali ya kimaisha na magumashi katika industry ya sanaa inawafanya wengi kutafuta njia nyingine za kupata basic needs
# that is my opinion, am not perfect#
 
Mkuu umeisikia simu ya mwisho.!huyu jMaa anajua bhana..

Nimeisikia sana tu, ila nachokiona kama Dear God bado iko juu sana, ingawa Simu Ya Mwisho alyoimba na Nay nayo ni nzuri.
 
Kelvin complex hata mi huwa nikiangalia macho ya pipi ananiacha hoi (just kidding)
Tukirudi katka point, kinachoniumiza ni kuona wanamuziki 'waliozaliwa' na vipaji vyao wakiwekwa kapuni na media zetu, hawa wa darasani, mazali, wakipewa airtime. Mifano Michache.
1. Grace Matata. Kibongo bongo ni demu gani unaweza msimamisha na Grace katka kuimba? Jibu ni hakuna. Huyu yuko km 10,000 mbele ya kina recho.
2. Vumilia. Huyu alianza vyema sana pindi alpokua THT, bada ya kuondoka pale, jamaa wakamfanyia fitina mpaka leo amebakia kuimba katka mahoteli tu. Huruma.
3. Nuruely. Waimbaji wote wa RnB wa kiume ukiwauliza, mwanamzki gani wanayemkubali jibu lao ni moja tu Nuruely. Anaweza akawa na matatzo binafsi, ila tunahtaji watu kama yeye na si kila siku kina Bonge La Nyau.

Talent kama hizi ndo zinatakiwa kuzisikia katka media zetu, na si 'fabricated' artist. Kupitia hao 'in born' artist mziki wetu unaweza hata ukakua.
 
Last edited by a moderator:

Wewe jamaa umenyoosha maelezo kuliko kawaida,nimewahi kumsikia Grace Matata ni habari nyingine kabisa,ukija kwa Nuruely ni kweli pia,ukweli ni mmoja pia Wanamuziki wengi wanaojua wanachokifanya walishakataa kunyonywa siku nyingi,na kwasababu ya umungu wa Ruge kwenye Tasnia ya muziki wetu waBongo wengi waliamua kufa na vipaji vyao.
 
Hicho ndicho nilichokimaanisha. Tunahitaji kina grace matata, nuruely na wengine wa sampuli hiyo wengi, mana naamini wapo kibao tu mitaani ila wananyimwa njia na hizi media zetu.
 
Kelvin complex hata mi huwa nikiangalia macho ya pipi ananiacha hoi (just kidding)
Tukirudi katka point, kinachoniumiza ni kuona wanamuziki 'waliozaliwa' na vipaji vyao wakiwekwa kapuni na media zetu, hawa wa darasani, mazali, wakipewa airtime. Mifano Michache.
1. Grace Matata. Kibongo bongo ni demu gani unaweza msimamisha na Grace katka kuimba? Jibu ni hakuna. Huyu yuko km 10,000 mbele ya kina recho.
2. Vumilia. Huyu alianza vyema sana pindi alpokua THT, bada ya kuondoka pale, jamaa wakamfanyia fitina mpaka leo amebakia kuimba katka mahoteli tu. Huruma.
3. Nuruely. Waimbaji wote wa RnB wa kiume ukiwauliza, mwanamzki gani wanayemkubali jibu lao ni moja tu Nuruely. Anaweza akawa na matatzo binafsi, ila tunahtaji watu kama yeye na si kila siku kina Bonge La Nyau.

Talent kama hizi ndo zinatakiwa kuzisikia katka media zetu, na si 'fabricated' artist. Kupitia hao 'in born' artist mziki wetu unaweza hata ukakua.

I got u mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Vanessa Mdee Anajua.....And She Has Got What It Takes For The International Market......Kuimba Na Ommy Dimpoz Was Just A Stepping Stone For Her 'BONGO flavor' Career....

Feza Kessy Is Not That Talented But Ukimsikiliza Unaweza Kuona Kuwa She Is Willing To Learn Which Is Good....(We Are All Trying At Some Point)
And BBA Ilikuja Baada Ya Some Few Studio Sessions...
.
Shetta Ni Msanii Literally....He Can Play With Words... He Is Familiar With Our Music Industry.....Na Ana Sauti Ya KuEntertain....Thats Talent...Hajabahatisha...
 
5. DIAMOND.
huyu nae ashukuru mganga wake yule ndo aliemtoa na pia kutembelea nyota ya wema la sivyo tungekua nae hapa Tandale kwa Mtogole tunakaba wote

kwahyo unakaba sio.
nimecheka mbayaaa, nilikuwa na stress zmepungua gafla
 
Wasanii Wa THT,i Agree With You At Some Point Lakini Nahisi Kuwa They Are 'Limited' Kuonyesha Cha Ziada....Na Kama Huu Uzi Watausoma Basi Wabadilike....They Should Step Out Of Their Uniformity.....Yaani Ukimsikia Msanii Anaimba Kama Ni Wa THT Utamjua Tuuu.....Very Boring!
Uandishi,Uimbaji........Uvaaji Wao....Damn...They Need To Change....
 
Kelvin complex hata mi huwa nikiangalia macho ya pipi ananiacha hoi (just kidding)
Tukirudi katka point, kinachoniumiza ni kuona wanamuziki 'waliozaliwa' na vipaji vyao wakiwekwa kapuni na media zetu, hawa wa darasani, mazali, wakipewa airtime. Mifano Michache.
1. Grace Matata. Kibongo bongo ni demu gani unaweza msimamisha na Grace katka kuimba? Jibu ni hakuna. Huyu yuko km 10,000 mbele ya kina recho.
2. Vumilia. Huyu alianza vyema sana pindi alpokua THT, bada ya kuondoka pale, jamaa wakamfanyia fitina mpaka leo amebakia kuimba katka mahoteli tu. Huruma.
3. Nuruely. Waimbaji wote wa RnB wa kiume ukiwauliza, mwanamzki gani wanayemkubali jibu lao ni moja tu Nuruely. Anaweza akawa na matatzo binafsi, ila tunahtaji watu kama yeye na si kila siku kina Bonge La Nyau.

Talent kama hizi ndo zinatakiwa kuzisikia katka media zetu, na si 'fabricated' artist. Kupitia hao 'in born' artist mziki wetu unaweza hata ukakua.

Grace Is Good But she Need To Learn The ABCs Of What It Means To Be A Star.....She Can Sing,Yes....But She Need More Life To Her Music....Her Album Is Good But Ni Kama Kajiandikia Asikilize Peke Yake....She Need To Socialize More(If She Is Interested With Her Career)....Do More Collabos With With 'Alive Artists'...Learn More ....
 
Last edited by a moderator:
E bwana nilikuwa sijui hii kitu. Huyo mganga atakua mtaalam sana. Inabidi timu yetu ya taifa (taifa star) ipelekwe. Hata tukifungwa DUNIA ione tumefunga sisi goli. Nafikiri ni short cut poa sana. Au mganga atuunganishie na nyota ya Nigeria kwenye soka, kama ya Wema imefaa kwa Domondi

Hivi mkuu wasanii wengine nao si waende kwa mganga wa Domondi
 
How I Miss Macamua....But Ni Uvivu Tu Nadhani Na Kukata Tamaa....
 
sheta kila wibo yeye anaimba 'shededeshedede' basi

ndo kawa star hapo tayari

Bwahahahaahahaah, daaah ahsante mkuu coz sikutegemea kama ntacheka usiku huu. Ubarikiwe sana hahahhaha eti "shededeshedede"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom