Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Kwa sheta umepatia sana ana fleva flani na hajaiga mtu..dogo anajua pia kucheza na biti na hicho ni kipaji ambacho miaka yote gk ameshindwa... kuna mtu anaitwa flesh p aliimba tina tina na kibla huyu kabahatisha.. na yule aliyeimba mwanamkiwa fetous nae ndio hao hao.alicom nae ndio hao hao.samahani vijana wa siku hizi mi wa kitambo kidogo. Nimemkumbuka snoop lee na taqwa vijana wa ilala.na wale vijana wa manzese wa kula kona? Snea wa ect.kaka man?..hivi luteni wa gangwe aliwa

Sheta nimemsikia kwenye kerewa na Basi njo Kkoo ya Abbyskills akiwa na Allykiba huchoki kukasikiliza haka ka dogo ni kweli usanii unatofautiana kuna wakali wa vina, sauti, na wengine marketing zinawabeba.

Kweli umekumbuka kitambo, K sal sijui aliishia wapi huyu dogo wimbo mmoja tu akatokomea!!

Kulikuwa makundi pia BDP 'Big Dog Pause' nao hawa walitoa nyimbo mbili wakapotea mazimaa.

University corner wazee wa t shirt na jinzi hahahaaa!! Huu wimbo ulisababisha wakawapanda sana dada zetu mtaani wakikatiza tu hatuna amani.

Joint Mob, waliimba siku ya hukumu ft Babuuu!! Nao songi hilo hilo hawakutoka tena

Kuna wale madogo walimjibu Mwana FA wimbo wake wa ingekuwa vipi wao wakasema ingekuwa poa!! Jina lao limenitoka kidogo
 
Daaaah.. We Kweli Ni Old Skul.
 
Wote magumashi....wewe niambie nani mwanamuziki wa kweli pale? Jibu, hakuna.

Hata Juma Nature? Magoma kama "sitaki demu" "ubinadamu kazi" "sonia" "ndege tunduni" "inauma sana", ukiyasikiliza hata sasa hivi huwa hutikisi kichwa?
 
Kelvin complex hata mi huwa nikiangalia macho ya pipi ananiacha hoi (just kidding)
Tukirudi katka point, kinachoniumiza ni kuona wanamuziki 'waliozaliwa' na vipaji vyao wakiwekwa kapuni na media zetu, hawa wa darasani, mazali, wakipewa airtime. Mifano Michache.
1. Grace Matata. Kibongo bongo ni demu gani unaweza msimamisha na Grace katka kuimba? Jibu ni hakuna. Huyu yuko km 10,000 mbele ya kina recho.
2. Vumilia. Huyu alianza vyema sana pindi alpokua THT, bada ya kuondoka pale, jamaa wakamfanyia fitina mpaka leo amebakia kuimba katka mahoteli tu. Huruma.
3. Nuruely. Waimbaji wote wa RnB wa kiume ukiwauliza, mwanamzki gani wanayemkubali jibu lao ni moja tu Nuruely. Anaweza akawa na matatzo binafsi, ila tunahtaji watu kama yeye na si kila siku kina Bonge La Nyau.

Talent kama hizi ndo zinatakiwa kuzisikia katka media zetu, na si 'fabricated' artist. Kupitia hao 'in born' artist mziki wetu unaweza hata ukakua.

Muongezee na Rama dee jamaa habani.pua ana R.N.B halisi sio wakina ben paulo
 
Last edited by a moderator:
Hapo umebugi,alaf inaelekea una chuki binafsi na mshikaji..
Unamansha ile mistar n mibaya kwahyo biti ndo imembeba.?

Una maanisha Wimbo wa taifa nao ni mbya.?
Una maansha Miss Ug nao ni mbaya.?

Nahisi jamaa amekugongea demu wako sio bure..

mkumbushe na ule wa ready to die mkuu
 
Kuhusu vanessa mdee nakataa coz she got a singing talent and many more, may b ungeongea khs kina shlole na snura ningekuelewa
 
Vipi kuhusu OCG wa Aqwelina, Rado, Dudubaya, Hot Pot Family na Mack Dee?

OCG kabla ya akwelina alitoa kizazaaa ngoma flani hivi kuhusu ukimwi jamaa alikua juu sana na aliitoa wakati yuko mwaka mwaka wa kwanza chuo udsm akisomea engenearing. Sijui ni umaerufu ulizidi na kuzidisha madem jamaa akadisco na kupoteza muelekeo kabisa.akaja kuibuka na hiyo akwelina baada ya miaka kama sikosei saba au nane hata hivyo hakupokewa vizuri akakimbia nchi kama sikosei yupo sweden.Mack dee kwa kweli hajawahi kutoka japo mchango wake kwenye gem ni mkubwa kasota sana na huu mziki.dudu baya kwa kweli alishatoka sema ujinga wake mwenyewe tu.hot pot? Sijui suma g amekumbwa na nini kwani anajua sana jamaa na ni mtunzi mzuri tuu.mr paul huyu pia hakuwahi kutoka hiyo siwema kaidandia tuu zile ngoma zake kama buzi zilikua za kawaida mno japo zilipata promo sana
 
5. DIAMOND.
huyu nae ashukuru mganga wake yule ndo aliemtoa na pia kutembelea nyota ya wema la sivyo tungekua nae hapa Tandale kwa Mtogole tunakaba wote
mhh, mhhh uhuru wa kuongea
 
Hata Juma Nature? Magoma kama "sitaki demu" "ubinadamu kazi" "sonia" "ndege tunduni" "inauma sana", ukiyasikiliza hata sasa hivi huwa hutikisi kichwa?

Natikisa kichwa baada ya kusoma hizo quotes zako tu ni sawa na bongo fleva yenyewe, hazieleweki. Wasanii wa bongo fleva si wanamuziki wale ila ni wasanii tu, wapo pale kimagumashi na ndiyo maana hawana jipya na kazi zao hazidumu.
 
Banana Zorro, Jay Dee, Lameck Ditto

Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.
 
Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.

Kweli we Jamaa Ni Mbishi.
 
Kweli we Jamaa Ni Mbishi.

Nimesema Jide kidogo...Niambie Banana ana nini, sauti yake si nzuri na nyimbo zake hazina maana. Nitajie wimbo wowote wa Banana ambao ni mzuri. Bora angekopi tu nyimbo za baba yake wakati akiwa Kimulimuli ila si hizi anazotunga yeye.
 
Namuona Banana kama mwanamziki na si msanii. Banana si bora sana katika kutunga nyimbo, bali ubora wake upo katka kutumia vyombo vya mziki kama gitaa na piano, pia uwezo wake wa kuimba live kwa ufasaha, tofauti na wasanii kina diamond, recho, feza kesy, n.k
 
7.KALA JERIMIAH huyu nae sielewi anatembelea nyota gani? hata ile ngoma ya dear GOD ni beat tu ya dee classic ndo
iliyom beba ..hata hii ngoma aliyoitambulisha juzi 'simu ya mbali' km sikosei ni kaama dear GOD na yale ma vina yake!!!

Hii ya kalla huyu jamaa ni noma kwa mtu anaeelewa anafanya mziki gani
 
Back
Top Bottom