kala jeremiah si mkali sana lakini ile kitu dear GOD ni bonge la goma lililowahi kurekodiwa duniani...aliyeiponda akasikilize tena.
true mkuu wengi tunaumia sana tunapowasikia wazugaji kila siku, wakali kwanza watarudi tu maana ni wakali sana.
kuna mdau mmoja amedai grace hatoki nje ya mic, yani akishamalza kurekod mziki mzuri anatulia anasubiri raia tutafute nymbo zake. Hana ule uwezo au ufundi wa kina vanesa wa kupiga fitna ya kutosha hadi unakuwa star kinguvunguvu.
Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.
Nimesema Jide kidogo...Niambie Banana ana nini, sauti yake si nzuri na nyimbo zake hazina maana. Nitajie wimbo wowote wa Banana ambao ni mzuri. Bora angekopi tu nyimbo za baba yake wakati akiwa Kimulimuli ila si hizi anazotunga yeye.
Muongezee na Rama dee jamaa habani.pua ana R.N.B halisi sio wakina ben paulo
We jamaa wa zamani kishenzi! Hadi leo bado unaamini kwamba Diamond alikuwa anatembelea nyota ya Wema? Hebu nijuze umaarufu wa Zari kabla na baada ya kuwa na Diamond kisha utapata jibu mwenyewe uone ikiwa Diamond anahitaji nyota ya yeyote au atakayekuwa na Diamond ni lazima a-shine!5. DIAMOND.
huyu nae ashukuru mganga wake yule ndo aliemtoa na pia kutembelea nyota ya wema la sivyo tungekua nae hapa Tandale kwa Mtogole tunakaba wote
I got u mkuu!
Nyie wakuu nimewakubali saaana kwamba ni ma-GT, yani mna-argue na kukubaliana na facts za kila mmoja wenu!Pamoja sana Mkuu
We jamaa wa zamani kishenzi! Hadi leo bado unaamini kwamba Diamond alikuwa anatembelea nyota ya Wema? Hebu nijuze umaarufu wa Zari kabla na baada ya kuwa na Diamond kisha utapata jibu mwenyewe uone ikiwa Diamond anahitaji nyota ya yeyote au atakayekuwa na Diamond ni lazima a-shine!
1. FEZA KESSY.
Huyu alkuwa mwakilishi BBA. Alpochaguliwa tu akakamata fursa kwa kuingia studio na kutoa ngoma, akiamini kuwa BBA ndo kujua mziki. Honestly huyu dada hajui kitu ndo mana tangu atoe ule wimbo wake hadi hivi sasa ni "ZZZZZZ...!".
2. SHETA.
Huyu dogo ni kolabo tu ndo zinamweka mjini, bila hivyo angekua anasugua benchi tu kama kina Suma G. Mnakumbuka alishawahi kutoa ngoma aliyoimba peke yake inayoitwa Tunaplay, na akaishia kuisikiliza mwenyewe gheto kwa kukosa airtime, mpaka alpofanya kolabo na kina Mwana FA ndo ikawa Hit.
3. VANESA MDEE.
Huyu anatakiwa amshukuru sana Ommy kwa ile kolabo yao. Kitendo cha mwaka huu kupewa tuzo ya mwanamziki bora wa RnB ilikuwa ni aibu kubwa, maana hajui kitu. Bila Ommy huyu Vanesa Angekua anasugua benchi na kina Vumilia.
4. WASANII WA THT.
THT kuna watu wanajua kweli kama amini, mwasiti n.k. Tatzo kuna vibinti vime 'Hit Hit' kiajabu tu hadi unastaajabu kwa mgongo wa Clouds, wakati hamna kitu. Mf. ni Pipi, Recho n.k
Kwa Niliowasahau Unaweza Ongeza.

jamani kwa hiyo sisi hatuna kitu kabisa watanzania sisi??
So umetufunza nini?1. FEZA KESSY.