Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Lina ashukuru sana Amini na ThT kwa ujumla.... hao wengine hapo juu kweli kabisa hujakosea
 
nimekusoma, abdu kiba ni 'avarage' sana ila alichowapgia gepu ni hizi fitina zake za nje ya uwanja. nachoamini wakali kwanza wamejfunza kitu, na watakuja tena wakiwa strong zaidi mana anayejua anajua tu.

Ilishakufa ile Qjay kaokoka na sasa anaimba gospel
 
Kelvin complex hata mi huwa nikiangalia macho ya pipi ananiacha hoi (just kidding)
Tukirudi katka point, kinachoniumiza ni kuona wanamuziki 'waliozaliwa' na vipaji vyao wakiwekwa kapuni na media zetu, hawa wa darasani, mazali, wakipewa airtime. Mifano Michache.
1. Grace Matata. Kibongo bongo ni demu gani unaweza msimamisha na Grace katka kuimba? Jibu ni hakuna. Huyu yuko km 10,000 mbele ya kina recho.
2. Vumilia. Huyu alianza vyema sana pindi alpokua THT, bada ya kuondoka pale, jamaa wakamfanyia fitina mpaka leo amebakia kuimba katka mahoteli tu. Huruma.
3. Nuruely. Waimbaji wote wa RnB wa kiume ukiwauliza, mwanamzki gani wanayemkubali jibu lao ni moja tu Nuruely. Anaweza akawa na matatzo binafsi, ila tunahtaji watu kama yeye na si kila siku kina Bonge La Nyau.

Talent kama hizi ndo zinatakiwa kuzisikia katka media zetu, na si 'fabricated' artist. Kupitia hao 'in born' artist mziki wetu unaweza hata ukakua.

Nakupa 100% Grace ni mwanamziki bora wa kike kushinda hata wanamuziki wengine wakike.. hata Jide anamkubali sana huyu mdada na anamchukua kwenye shows zake hategemei promo za kijinga hata wyre alivutiwa wakatoa collabo...

Hawa wengine lina sijui rachel promo tu ila GM ni mkali
 
Last edited by a moderator:
Ilishakufa ile Qjay kaokoka na sasa anaimba gospel

Kuna siku makamua alikuwa akhojiwa na media flan, akadai "wakali kwanza" inaweza ikarudi ila kama yeye na joselne wakiamua kuimba gospal kama mwenzao q jay.
 
OCG kabla ya akwelina alitoa kizazaaa ngoma flani hivi kuhusu ukimwi jamaa alikua juu sana na aliitoa waikati yuko mwaka mwaka wa kwanza chuo udsm akisomea engenearing. Sijui ni umaerufu ulizidi na kuzidisha madem jamaa akadisco na kupoteza muelekeo kabisa.akaja kuibuka na hiyo akwelina baada ya miaka kama sikosei saba au nane hata hivyo hakupokewa vizuri akakimbia nchi kama sikosei yupo sweden.Mack dee kwa kweli hajawahi kutoka japo mchango wake kwenye gem ni mkubwa kasota sana na huu mziki.dudu baya kwa kweli alishatoka sema ujinga wake mwenyewe tu.hot pot? Sijui suma g amekumbwa na nini kwani anajua sana jamaa na ni mtunzi mzuri tuu.mr paul huyu pia hakuwahi kutoka hiyo siwema kaidandia tuu zile ngoma zake kama buzi zilikua za kawaida mno japo zilipata promo sana
Wimbo wa OCG ulikuwa unaitwa KAZEZE mkuu...
 
Sio bongo tu hivi Ziggy D yuko wapi sikuiz au ana hit Uganda tu... sio kama enzi zile
 
Huyu jamaa sijui kipi kimekuta? 'peke yangu' ilikuwa kali sana ila zlzofata baada yake ni za kawaida sana. 'peke yangu' ilikuwa hit sana labda, kwa sababu, kipindi anaitoa hii ngoma alikuwa ni moja wa member wa crew ya 'choka mbaya' ambayo ilikuwa ni talk of town kipindi hicho, ndo mana ikapgwa sana hadi tukailewa. Ila hiyo ngoma ilikuwa ni kali kinoma.
hujui tu swahiba ile ngoma prof jay amefanya 90% kumbeba mshikaji fani yake jamaa ilikuwa kikapu toka enzi ya lute sec.
 
Sio bongo tu hivi Ziggy D yuko wapi sikuiz au ana hit Uganda tu... sio kama enzi zile

Mzee wa "eno mic", huyu nae sijui kilimkuta kipi? May be anaachia maraga mazuri tu huko uganda, ila sisi hayatufikii.
 
hujui tu swahiba ile ngoma prof jay amefanya 90% kumbeba mshikaji fani yake jamaa ilikuwa kikapu toka enzi ya lute sec.

Duh, hii ndo naijua leo, kumbe prof kaichora ile ngoma? Ndo mana kumbe jamaa kila akijaribu kutoka tena chali.
 
Hivi mkuu wasanii wengine nao si waende kwa mganga wa Domondi

Kwa mujibu wa mwandishi mkuu, basi anaamini zaidi kwa waganga kuliko strategy. Amesahau kwamba matangazo hulipa ndio maana watu wana ma-Manager Masoko na wanalipwa kwa kazi hiyo tu.
 
7.KALA JERIMIAH huyu nae sielewi anatembelea nyota gani? hata ile ngoma ya dear GOD ni beat tu ya dee classic ndo
iliyom beba ..hata hii ngoma aliyoitambulisha juzi 'simu ya mbali' km sikosei ni kaama dear GOD na yale ma vina yake!!!

nae huwa anakopa nyota ya wema sepetu anapigia pigia kazi, siku ambazo diamond haitumii.
 
5. DIAMOND.
huyu nae ashukuru mganga wake yule ndo aliemtoa na pia kutembelea nyota ya wema la sivyo tungekua nae hapa Tandale kwa Mtogole tunakaba wote

kwa hiyo wema hapo alipo hana nyota tena??
 
Vimeo
-bonge la nyau
-bob junior
-tunda
-sunra
-mziwanda
-THT wote
-shetta
-Off side
-2 berry
 
Hapo umebugi,alaf inaelekea una chuki binafsi na mshikaji..
Unamansha ile mistar n mibaya kwahyo biti ndo imembeba.?

Una maanisha Wimbo wa taifa nao ni mbya.?
Una maansha Miss Ug nao ni mbaya.?

Nahisi jamaa amekugongea demu wako sio bure..

nisaidie kushangaa na wewe maanake ni vihoja, ngoja nikuambie kitu, unajua watu wanashindwa kuelewa, unaweza kuwa humpendi msanii flani, and ofcoz hulazimishwi kumpenda lakini linapokuja swala la kazi BOURAAA! kazi quality, huwa haijifichi kwani kuna vigezo vinavyotumika kuitathmini, sasa kwa bahati mbaya kwa wale wanayemchukia msanii flani, na huyo msanii akatoa kazi BOURAA!! they better not to talk about it kuliko kuidiss, coz ukidiss kazi nzuri ni kujichoresha tuu, kwa mfano kuna mmoja hapo juu kasema video za diamond ni mbovu. like serious!!!!!?? SHAME!!!
 
kuna mdau mmoja amedai grace hatoki nje ya mic, yani akishamalza kurekod mziki mzuri anatulia anasubiri raia tutafute nymbo zake. Hana ule uwezo au ufundi wa kina vanesa wa kupiga fitna ya kutosha hadi unakuwa star kinguvunguvu.
kwa yeyote anayetegemea kipaji pekee, atabaki na ataendelea kuwa historia daima kama hao mnaowataja hapo juu, kama mchanga ni lazima uuchanganye na semeti na maji ndio upate tofali, basi kipaji ni lazima ukichanganye na juhudi na nidhamu ndio upate msanii. wooote mnaowataja hapo juu wanaweza kuwa wana vipaji kweli, mimi sijui coz sina utaalam sana wa mziki, LAKINI JUHUDI ni sifuriii, hata kiba kama si watu kumpush kwa lazima kipaji chake kilishakuwa historia.
 
Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.

jamani kwa hiyo sisi hatuna kitu kabisa watanzania sisi??
 
Back
Top Bottom