Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Mandojo nasikia siku hz karudi kwao manyoni na anauza cd zake kwenye kitoroli,anatembeza yeye mwenyewe kwa miguu,akifika sehemu yenye watu wengi anaanza kuimba kibwagizo cha nyimbo iliyowatoa na domokaya,yeyeyee yeyeey yeyey,son mandojo feroo,anaendelea,nikuupe,nukuupe nini mpz,yaani kama madata rubigisa vilee(kadata)
 
Back
Top Bottom