Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

Vanessa Mdee Anajua.....And She Has Got What It Takes For The International Market......Kuimba Na Ommy Dimpoz Was Just A Stepping Stone For Her 'BONGO flavor' Career....

Feza Kessy Is Not That Talented But Ukimsikiliza Unaweza Kuona Kuwa She Is Willing To Learn Which Is Good....(We Are All Trying At Some Point)
And BBA Ilikuja Baada Ya Some Few Studio Sessions...
.
Shetta Ni Msanii Literally....He Can Play With Words... He Is Familiar With Our Music Industry.....Na Ana Sauti Ya KuEntertain....Thats Talent...Hajabahatisha...

Kwa sheta umepatia sana ana fleva flani na hajaiga mtu..dogo anajua pia kucheza na biti na hicho ni kipaji ambacho miaka yote gk ameshindwa... kuna mtu anaitwa flesh p aliimba tina tina na kibla huyu kabahatisha.. na yule aliyeimba mwanamkiwa fetous nae ndio hao hao.alicom nae ndio hao hao.samahani vijana wa siku hizi mi wa kitambo kidogo. Nimemkumbuka snoop lee na taqwa vijana wa ilala.na wale vijana wa manzese wa kula kona? Snea wa ect.kaka man?..hivi luteni wa gangwe aliwahi kutoka? ...
 
Ntakasi, i got ur points..
About vanessa i will take more time to listen to her music, may be kuna kitu kipya nachoweza pata.. but i don't think so ila ngoja nijarbu.
I agree with u kuwa sheta ana 'entartain' with his words, but kwanini anaogopa kufanya ngoma pekee? Hebu ajaribu tuone anasimamaje.. na si kila siku kufanya kolabo na kina diamond.
Grace is so talented, but ana lack baadhi ya vitu ambavyo wengne wanavchangamkia, i agree with u. But what am beliving is, 1 day our music industry will be in Grace's hands.. na siku hiyo haiko mbali.
 
Last edited by a moderator:

Vipi kuhusu OCG wa Aqwelina, Rado, Dudubaya, Hot Pot Family na Mack Dee?
 
Adili aka hisabati

Huyu jamaa sijui kipi kimekuta? 'peke yangu' ilikuwa kali sana ila zlzofata baada yake ni za kawaida sana. 'peke yangu' ilikuwa hit sana labda, kwa sababu, kipindi anaitoa hii ngoma alikuwa ni moja wa member wa crew ya 'choka mbaya' ambayo ilikuwa ni talk of town kipindi hicho, ndo mana ikapgwa sana hadi tukailewa. Ila hiyo ngoma ilikuwa ni kali kinoma.
 
Vipi kuhusu OCG wa Aqwelina, Rado, Dudubaya, Hot Pot Family na Mack Dee?

Dudubaya anasema mamake kamroga ili asivume kimziki..

"Sitachoka kukuimba we tena na tena,sitachoka kukuimba wewe",huyu mwanadada n noma sana,ila game ya bongo imekaa kifursa na sio kipaji..
 
sheta kila wibo yeye anaimba 'shededeshedede' basi

ndo kawa star hapo tayari

Ningeweza ningerekodi video kisha ni upload uone jns ulivonchekesha..

Mkuu The Boss umevunja mbavu zangu aise..
Bwahahahhahahahahahahahahaha..
 
Last edited by a moderator:
Dudubaya anasema mamake kamroga ili asivume kimziki..

"Sitachoka kukuimba we tena na tena,sitachoka kukuimba wewe",huyu mwanadada n noma sana,ila game ya bongo imekaa kifursa na sio kipaji..

haha.. ndo maana dudubaya alimng'ata sikio mama yake?
 
Ntakasi, i got ur points..
About vanessa i will take more time to listen to her music, may be kuna kitu kipya nachoweza pata.. but i don't think so ila ngoja nijarbu.
I agree with u kuwa sheta ana 'entartain' with his words, but kwanini anaogopa kufanya ngoma pekee? Hebu ajaribu tuone anasimamaje.. na si kila siku kufanya kolabo na kina diamond.
Grace is so talented, but ana lack baadhi ya vitu ambavyo wengne wanavchangamkia, i agree with u. But what am beliving is, 1 day our music industry will be in Grace's hands.. na siku hiyo haiko mbali.

Sure Grace Matata anajua sana mziki sema ndio hivyo sijui tatizo liko wapi.
 
Last edited by a moderator:
Sure Grace Matata anajua sana mziki sema ndio hivyo sijui tatizo liko wapi.

kuna mdau mmoja amedai grace hatoki nje ya mic, yani akishamalza kurekod mziki mzuri anatulia anasubiri raia tutafute nymbo zake. Hana ule uwezo au ufundi wa kina vanesa wa kupiga fitna ya kutosha hadi unakuwa star kinguvunguvu.
 
1. FEZA KESSY.
Huyu alkuwa mwakilishi BBA. Alpochaguliwa tu akakamata fursa kwa kuingia studio na kutoa ngoma, akiamini kuwa BBA ndo kujua mziki. Honestly huyu dada hajui kitu ndo mana tangu atoe ule wimbo wake hadi hivi sasa ni "ZZZZZZ...!".

2. SHETA.
Huyu dogo ni kolabo tu ndo zinamweka mjini, bila hivyo angekua anasugua benchi tu kama kina Suma G. Mnakumbuka alishawahi kutoa ngoma aliyoimba peke yake inayoitwa Tunaplay, na akaishia kuisikiliza mwenyewe gheto kwa kukosa airtime, mpaka alpofanya kolabo na kina Mwana FA ndo ikawa Hit.

3. VANESA MDEE.
Huyu anatakiwa amshukuru sana Ommy kwa ile kolabo yao. Kitendo cha mwaka huu kupewa tuzo ya mwanamziki bora wa RnB ilikuwa ni aibu kubwa, maana hajui kitu. Bila Ommy huyu Vanesa Angekua anasugua benchi na kina Vumilia.

4. WASANII WA THT.
THT kuna watu wanajua kweli kama amini, mwasiti n.k. Tatzo kuna vibinti vime 'Hit Hit' kiajabu tu hadi unastaajabu kwa mgongo wa Clouds, wakati hamna kitu. Mf. ni Pipi, Recho n.k

Kwa Niliowasahau Unaweza Ongeza.

Kaka kwa Vanessa Mdee aisee hapana nakataa,bint anajua mbaya sikiliza vizuri ngoma zake Closer na Come over yaan nice songs nice videos.Too bad hakutoka mpaka Dimpoz alipompa collabo, bt all in all she is hot
 
Ni kweli Vanesa yuko vzuri kwa nyimbo hata shooting zake zimetulia kwa kweli anajitahdi sana Vee
 
Kaka kwa Vanessa Mdee aisee hapana nakataa,bint anajua mbaya sikiliza vizuri ngoma zake Closer na Come over yaan nice songs nice videos.Too bad hakutoka mpaka Dimpoz alipompa collabo, bt all in all she is hot

Nimekusoma kaka, wadau wengi sana wamenipinga juu ya vanesa a.k.a vee money kuwa katka hii list, nakubaliana na 'construction' critisims thenu.
 
lady jaydee sijui anatumia nini kuushawishi uma wa watz kuwa ni legendary...nilipenda collabo zake tu na kina FA,Kiba,Prof j nk akisimama mwenyewe ni yiii...iiii...iiiii ni majanga.
 
Kwa sheta umepatia sana ana fleva flani na hajaiga mtu..dogo anajua pia kucheza na biti na hicho ni kipaji ambacho miaka yote gk ameshindwa... kuna mtu anaitwa flesh p aliimba tina tina na kibla huyu kabahatisha.. na yule aliyeimba mwanamkiwa fetous nae ndio hao hao.alicom nae ndio hao hao.samahani vijana wa siku hizi mi wa kitambo kidogo. Nimemkumbuka snoop lee na taqwa vijana wa ilala.na wale vijana wa manzese wa kula kona? Snea wa ect.kaka man?..hivi luteni wa gangwe aliwa

Sheta nimemsikia kwenye kerewa na Basi njo Kkoo ya Abbyskills akiwa na Allykiba huchoki kukasikiliza haka ka dogo ni kweli usanii unatofautiana kuna wakali wa vina, sauti, na wengine marketing zinawabeba.
 
Back
Top Bottom