Wanamshangilia lakini wana mashaka!

Wanamshangilia lakini wana mashaka!

Yaani usiku na mchana mnavyomsema mh raisi vibaya utadhani huyo wa kwenu ni mkamilifu. Sio fair. Semeni pia kazi nzuri anazofanya.
he!!! tusaidie na wewe kuzisema nzuri inawezekana watu hawajui mwenzetu wa kuleeeeeeeeeeee!
 
Ndio atakapo shangaa! Wake kwa waume, maskino na matajiri, wazee na vija

Ushauri wangu Ni kuwa, kwakuwa tumeshakosea hatuna namna, lakini tusifanye kosa jingine 2020, Tuunganishe nguvu ili Magufuli 2020 ashindwe kabisa.

Unadhani ni nani anafaa kuwa Rais na kutuvusha???
 
Sukar na mahitaj kupanda haimuhusu mnyonge?
Mnyonge na sukari! mnyonge sukari kwake imekuwa anasa toka enzi za mwalimu, akila muhogo sukari anapata, hiyo ya nyongeza lalamika wewe.
 
Kuna zaidi ya kusomesha. Ana uhakika ataendelea kutawala milele wakati si tuna mpango wa kumpiga chini 2020
Mbona hilo la kupigwa chini 2020 analijua! Ndio maana haachi kuhesabu kila siku, utasikia nimebakiza miaka minee na miezi 8 mara minne na miezi 6 and still counting
 
alipotaja jengo la vijana ccm lumumba ITV camera zao zikamwonyesha sendeka na kinana wamepigwa butwaa kweli wanashangilia bila furaha
 
Kuna wakati inabidi usifie jambo ili yako yaende..nkinukuu nyimbo ya kumsifu Makonda kutoka Mkubwa na wanae"Tumempata kijana mwenzetu mwenyenizamu" nkajiuliza hivi kumchapa Mzee mwenye umri wa baba bado tukuite unanidhamu..kwa hiyo hata wanaomshangilia magufuli wanataka yao yaende tu.
 
aliyekuwa akitangaza matokeo kwa kadiri alivyo kuwa akiyapokea kutoka vituo naona aliwaumiza wengi duh.jina la bwana libarikiwe
 
Kilichopo ni kwamba wale wenye maisha ya chini wanadhani kwamba rais atawashusha wote wenye maisha mazuri ili wawe level moja,km unavyojua watz tunapenda mtu akianguka cyo akipanda/akifanikiwa,niamini niyasemayo chief,hayo ndiyo mawazo ya watz wa hali ya chini wengi..

HAKUNA ANAYEFOCUS KUHUSU MIPANGO YA BAADAYE TITANEEMEKA VIPI LAA HASHA,WENGI WANATAKA RAIS AENDELEE KUFUKUZA WATU KWAKUWA WAO WANADHANI WALIKUWA WANAJIDAI SANA MITAANI..

Nini wanachoshangilia?
Mfano mtu usiyejua alikuwa anafanya kazi gani,wala hujawahi kumsikia,hata hujui amekosa nini hlf mbele ya jukwaa unaulizwa nimtumbueeeee wewe unaitikia mtumbueeee,inawezekana kweli?

HAYA MAKOFI NA VIGELEGELE VYA WATZ NI VYAKIPUMBAVU,NA WENGI HATUJUI MWELEKEO WA HUKU TUENDAKO,NI MATUKIO YASIYOTUNUFAISHA SS WATZ,BALI NI KAMPENI ZA KISAICOLOGY KWA WATZ MAMBUMBUMBU,NA SASA HATA KUHOJI TENA NGUMU,TUPOTUPO TUU,NAKUMBUKA MANENO HAYA:-

ANAANDIKA jenerali ulimwengu

''Tunachagua kama vipofu,kisha tunalalama kama Vichaa. Sasa tuamue; ama tuchague Viongozi wetu kwa umakini au tukae kimya wakati wakitunyanyasa''.........
Mkuu siamini kama wewe unaweza kuandika ktk hali ya kudharau watanzania wote kama ulivyo fanya! Hivi mkuu niambie aliyetumbuliwa kwa kuonewa ni nani? Mimi kuna mambo yanafanyika siriziki nayo ila yapo mengi sana JPM anafanya sawa! Mfano zoezi la uhakiki wafanyakazi, kupunguza mishahara ili kufidia wa kima cha chini. Ni kweli mmoja kwa mwezi alipwe 40milion na mmoja alipwe laki mbili? Lakini pia wezi wanabanwa ili tufaidi keki ya taifa kwa usawa. Kama wewe au rafikizo mmebanwa pole ila usipotoshe nia njema ya Rais
 
Habarini wanajamvi!

Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya Magufuli, kuna kitu kimoja kiko dhahiri. Wanao mshangilia kuna wakati wanaonesha mashaka nadhani wanapo kumbuka ugumu Wa maisha mtaani. Washangiliji Wa kweli Ni rahisi kuwatambua! Hawa Wa Magufuli wanafanana sana na walio kuwa wanamshangilia IDD Amini.unafiki mtupu.Wanachama na viongozi ndani ya chama chao hawana amani ya moyo! Ku a kitu wanatafakari.
MaCCM ni majitu ya ajabu sana..
..yanashangilia tu kama ng'ombe wasokuwa na mikia.
 
Mkuu siamini kama wewe unaweza kuandika ktk hali ya kudharau watanzania wote kama ulivyo fanya! Hivi mkuu niambie aliyetumbuliwa kwa kuonewa ni nani? Mimi kuna mambo yanafanyika siriziki nayo ila yapo mengi sana JPM anafanya sawa! Mfano zoezi la uhakiki wafanyakazi, kupunguza mishahara ili kufidia wa kima cha chini. Ni kweli mmoja kwa mwezi alipwe 40milion na mmoja alipwe laki mbili? Lakini pia wezi wanabanwa ili tufaidi keki ya taifa kwa usawa. Kama wewe au rafikizo mmebanwa pole ila usipotoshe nia njema ya Rais
Hahaha! Eti KUFIDIA WA KIMA CHA CHINI....ni mtu gani wa kima cha chini aliyeongozwa mshahara? Du, unàwaza mbali sana mkuu.
 
Hahaha! Eti KUFIDIA WA KIMA CHA CHINI....ni mtu gani wa kima cha chini aliyeongozwa mshahara? Du, unàwaza mbali sana mkuu.
Nawe unapaswa kuwaza kwa kujiongeza kima cha chini sio lazima walipwe cash hata madawa hospitalini, madawati, na huduma zigine za kijamii vikiongezwa ni fidia. Kunawatu walizoea kusomesha watoto wao kwa kutunyonya wanyonge sasa wabadilike. Wote ni watz utabaka wa nini? JPM piga kazi, mabadiliko siku zote yanachangamoto
 
Una ubongo wa udongo
Mtoa uzi ameelezea mtazamo wake na mchango wako unathibitisha tu kuwa wewe ndo una udongo ubongoni. Hata hivyo hakuna mwenye akili timamu atakayekulaumu kwa sababu tatizo linajulikana.
 
Mtoa uzi ameelezea mtazamo wake na mchango wako unathibitisha tu kuwa wewe ndo una udongo ubongoni. Hata hivyo hakuna mwenye akili timamu atakayekulaumu kwa sababu tatizo linajulikana.
Nawe una ubongo wa udongo hatuwashangai kwa kuwa ndio unawawakilisha.
 
Back
Top Bottom