Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,170
Rais ni mmoja,wa kwetu yupi?Kumbe mnajua mmeshika nchi kimagumashi!?Ndio maana mnakua na matamko wenyewe hamyakumbuki mkimaliza msemachoYaani usiku na mchana mnavyomsema mh raisi vibaya utadhani huyo wa kwenu ni mkamilifu. Sio fair. Semeni pia kazi nzuri anazofanya.
Hapa anarekebishwa na kukumbushwa njia impasayo msituletee mizuka ya nyumbani kwenu katika nchi