DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Nimekwambia masikini asiyepata matibabu, asiyeweza kusomesha watoto, asiyeweza kupata walau milo miwili kwa siku ananufaika na nini akiona matajiri wanakuwa maskini? Anachofanya JPM (kukusanya kodi kwa wakwepakodi, kuhakikisha watoto wanasoma bure, kuhakikisha wagonjwa hawalali chinip, kuondoa ushuru kwa wafanyabiashara wadogo, kuondoa wafanyakazi hewa etc) ndo vitu maskini wanapenda vishugulikiwe...Unazidi kudhihirisha ufoolish wako,c utulie tuu mkuu,ushajionyesha ulivyo na akili ndogo then kwa kutumia tena akili ndogo hiyohiyo unajibu pumba..
Daa very sad![]()
![]()
![]()
NB: Kuwa makini na post zako..huyo mtoto Nasreen (kama ni wako kweli) atakuja kukushangaa sana akikuwa mkubwa...

