Jembe Ulimi
Member
- Aug 9, 2016
- 42
- 14
Kwa heshima kaleta sasa hivi kulikua na mtindo mmoja hawa viongozi asubuhi hutoka mahofisini na kuingia mitaani kunya nyasa wananchi masikini siku hizi hilo hakuna sijuwi hapo baadae dozi ikiisha nguvu sijuwi itakuaje kama ni hali ngumu hata utawala wa mkapa ulikua mgumu zaidi mpaka watu walikua wana jinyonga na mikanda ya suruwali na ilikuwa halingumu sana sasa hivi masikina anaejituma yupo peponi japokua ana mapungufu yake yeye ni binadamu kitu ninacho muoba askubaliane na kuyumbishwa hata nyerere alipachikwa majina mchonga akanyamaza waka muita nabii musa akanyamaza sasa pale walipo muita habiliki ndio moto uliwaka mheshimiwa magufuli chonte chonte usishindane na huyo nfua ya mabomu kutoka tailanti utapotea maboya