WanaJF ndani ya Tanga

I hope my Lily Flower hajasoma hii makitu


Umeona mwenyewe jinsi unavyotaka kuchanganya majiografia???

Bahati nzuri babu ni mlezi wa wajukuu wote...atajifanya hakuona ili alinde maslahi ya kila upande....


Mnakuja lakini??

Babu DC!!
 
Utani wa Babu na Mjukuu unahitaji maswali Mkuu? hebu tupia au ni inbox picha ya Madame B bana


Sawa mkuu Mungi nimekuelewa....ni utani tu....

Kwa hiyo, ni utani pia babu akisema kuwa hawezi kutumiamo picha za wajukuu wake humu ndani....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi babu unavyowabania wajukuu namna hiyo, una mpango gani nao? :confused2:
Waachie banaa wapate :mwaaah:, mbona wewe ulimpataga bibi:becky:
Sawa mkuu Mungi nimekuelewa....ni utani tu....

Kwa hiyo, ni utani pia babu akisema kuwa hawezi kutumiamo picha za wajukuu wake humu ndani....

Babu DC!!
 
Haki ya nani Tanga raha sana......

Mambo ya Chuda, kwa Minchi, Tanga Beach Resort, Nyinda, La Cassa Chica na Nyumani hotel hayo.........

Ni zaidi ya nusu kaputi a.k.a anaesthesia au nyamulunda!!

Tunakimbizana kwenda saa 2 asubuhi na hakuna mjukuu ana habari kwamba kumeshapambazuka..!!

Babu DC!!


Cc: PakaJimmy, Arushaone, Blaki Womani, Lily Flower (mshabiki wa nyuki wa mashine), Preta, Arabela, KOKUTONA, Madame B, watu8, Filipo + marejesho, Smile (umekoma kuringa...lol)!!
 
Last edited by a moderator:
niliitamani sana kula bata tanga mambo yanabana nipo dar narudi chuga kesho kama watakua hawajaondoka nitapitia huko walau tu hata tujuane
 
Hivi babu unavyowabania wajukuu namna hiyo, una mpango gani nao? :confused2:
Waachie banaa wapate :mwaaah:, mbona wewe ulimpataga bibi:becky:


Nani kakwambia kutafutana, kupeana na kupata ni sehemu ya menu ya Tanga??

Halafu wewe?

Endelea na Paw wako....mambo ya Tanga ni ya wajanja...

And unfortunately, you are not qualified at all!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
niliitamani sana kula bata tanga mambo yanabana nipo dar narudi chuga kesho kama watakua hawajaondoka nitapitia huko walau tu hata tujuane


Nani kakufundisha huo utetezi wewe mkiva??

Kubali tu kwamba ngoma ya Tanga huiwezi...

waachie wajanja.....!!

Uongo Arabela??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Una bahati mbaya hukuipata ile yenyewe. Poor you, kwanini lakini?

Si ndio namshangaa? Uwenyeji gani huu?

Hehehehe! Unauliza vumbi stoo? Sisi hawoooooo! Kawaida kama sheria:becky::becky::becky:

babu umekuja? Jaman am coming
 
Biya+mbuzi choma+live band dadadaki huna bahati Husninyo! BTW kwanini mnajinyima raha hivoo? Mnatia huruma ila hamjijui.

halafu wewe tulipangaje lakini nashangaa umetokomea huko. mi nakuangalia tuu. lol
 
Last edited by a moderator:
Nani kakwambia kutafutana, kupeana na kupata ni sehemu ya menu ya Tanga??

Halafu wewe?

Endelea na Paw wako....mambo ya Tanga ni ya wajanja...

And unfortunately, you are not qualified at all!!

Babu DC!!

hebu ntupie picha yako nione kama wewe kizee kweli au unazingua. lol... shkamoo babu.
 
Last edited by a moderator:
hebu ntupie picha yako nione kama wewe kizee kweli au unazingua. lol... shkamoo babu.

Mwone macho yake!!

Hiyo ndo adabu uliyofundishwa kwenye retreat yako ya magumashi?
 

Ha ha haaa babu Dark City warushe roho hao.
Hawataki kuamini kabisa km bata inaliwa Tanga?
Yaani room ni kuchange nguo na kuamsha.
Tanga rahaaa bwana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…