WanaJF ndani ya Tanga

zubedayo_mchuzi ajinyonge tu!!! Ama kweli fimbo ya mbali haiui snake! Chezeiya Arabela wewe? Pembeni KOKUTONA...

Ha ha haa, chezeya watoto wa Tanga wewe? Tumedattisha mbaya, Arushaone dhhofu li khali, na ameanza kupiga za chini chini harudi Arusha. Arabela kazia kwa huko mi naendela kwa huku. Chezeya

1. Maji ya kuoga ya iliki,
2. Supu ya pweza
3. Maji ya ukiri.
4. Maji ya kupigia mswaki ya tui la nazi,
5. Mawaridi na uturi kitandani

Kwa nini wasidateee?
@Fillipo, PakaJimmy, watu8 kwa taarifa zaidi
 
Last edited by a moderator:

hah hah hah hah! Kijana sijui kama ataondoka Tanga!
 
Last edited by a moderator:
hah hah hah hah! Kijana sijui kama ataondoka Tanga!

Uamuzi na hatima ya maisha yake Arusha au Tanga yako mikonono mwangu na Arabela, tukimwonea huruma tutamwachia aungane na familia yake, but sijui tuendeee kumdatishaa.

Time will tell
 
Last edited by a moderator:

yai na dua nililoporomosha pale kwenye mapango litatoa majibu habaki mtu hapa
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA yamekuwa hayo kwa mume halali a.k.a mfalme mswati

Ha ha ha ha ha mke mwenzetu @Blaki Woman tuliza mshono tuachie tumwonyeshe malavi davi ya nje ya ndoa. We msubiri nyumbani, asiporudi jua kanogewa.

After all una uhakika wa umiliki wasi wasi wa nini mama. Punguza presha tunakusaidia kulea, umefanya sehemu yako vya kutosha loooool
 

hahahhahaha nani wa shombo Madam B kachomoa utaweza wewe
 
Last edited by a moderator:

Wakati huo waukweli wenu wako wapi??
Ngoja aje ashushwe mshipa, ndo mtastate vizuri!
 

hahahaha. Amina gfsonwin amri ya 6 ihusika
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…