Wanajeshi wapata ajali Zanzibar leo asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajeshi wapata ajali Zanzibar leo asubuhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by semtema, Apr 9, 2013.

 1. s

  semtema Member

  #1
  Apr 9, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila siku asubuhi vikosi vya JWTZ hapa zanzibar hufanya mazoez ya kukimbia (mchaka mchaka) kutoka kambi ya Bavuai ilioko maeneo ya migombani hadi Chukwani. kwabahati mbaya leo asubuhi wakati wapo katika zoez hilo la kukimbia katika Barabara ya kuelekea AIR PORT kijana 1 akiwa anaendesha gari aina ya NOAH aliwapiga busa majeshi wapatao 10 waliokuepo kwenye mchaka mchaka huo. wapo waliofariki papo hapo na wapo waliopata majeruhi makubwa na wamesafirishwa Tanzania Bara kwa matibabu.
  Dereva wa gari hiyo aliweza kukimbia na gari yake lakini alipofika katika kona ilipinduka ila dereva alitoka na kukimbia mbio. MUNGU AWAPE BARAKA WOTE WALIOKUTWA NA MTIHANI HUO.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2013
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,008
  Likes Received: 2,778
  Trophy Points: 280
  busa ni nini......?
   
 3. mwaxxxx

  mwaxxxx JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2013
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  aaaaamiiiin
   
 4. mwaxxxx

  mwaxxxx JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2013
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ...kugongwa
   
 5. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,857
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  Dah poleni, ila BUSA ni NINI?
   
 6. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2013
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 12,289
  Likes Received: 5,559
  Trophy Points: 280
  poleni wajeshi
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2013
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,020
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Kizanzibari hicho Yakheee!
   
 8. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2013
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,075
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wamefariki wangapi?
   
 9. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2013
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hizi lugha za kipembapemba humu ndani hata maana ya habari yenyewe inakuwa hovyo...eleza kwa lugha inayoeleweka tukuelewe...Busa ni nini sasa?
   
 10. Queen Kan

  Queen Kan JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 3,430
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Jamani! Poleni sana
   
 11. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,299
  Likes Received: 972
  Trophy Points: 280
  Busa... busha. Nyie mumeherehwa??
   
 12. m

  mbupupu Member

  #12
  Apr 9, 2013
  Joined: Mar 27, 2013
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  busa ni nini? Au ndo busha...! Poleni sana
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,512
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Amelonga kizenji yakhee...
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,512
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tumeherehwa!!!!???
   
 15. d

  dr chris Member

  #15
  Apr 9, 2013
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polen mungu ni mwema atawaponya majeruhi.
   
 16. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2013
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na hii ni ID yako tena? Kweli JF zaidi ya ajira
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2013
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,930
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  Poleni wote
   
 18. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ameahdiwa kuwa atapewa nafasi ya uongozi magamban akirud TZ.
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2013
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  :loco::loco::loco::loco::loco::loco: Mambo ya pwani hayooo, wentiwa busa atiii......!
  RIP wanajeshi
   
 20. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2013
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,299
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  tz bwana.
  utasikia eti ni kitendo cha kigaidi hivyo tataomba FBI waje wachunguze au iundwe TUME
  hiyo ni traffic case jamani.
  poleni wahanga - wapiganaji wetu.
   
Loading...