Wanajeshi wapata ajali Zanzibar leo asubuhi

Habari mbaya, wasioelewa kiswahili imekula kwao.
Mola awarehemu.
 
Wakati inatokea hyo ajali nilikuepo but baadae nilimuuliza mtu kwa njia ya sim nikapata taarifa kua mpaka sasa hajafa mtu ila majuruhi na wengine imebidi wawahishwe Tanzania Bara kwa matibabu. but on the sport hali ilikua mbaya sana.
 
Wakati inatokea hyo ajali nilikuepo but baadae nilimuuliza mtu kwa njia ya sim nikapata taarifa kua mpaka sasa hajafa mtu ila majuruhi na wengine imebidi wawahishwe Tanzania Bara kwa matibabu zaidi. Samahani kwa kizenji BUSA ni Kugongwa na gari pikipiki au baiskeli. ni lugha rasmi kweti sio kichochoroni
 
tz bwana.
utasikia eti ni kitendo cha kigaidi hivyo tataomba FBI waje wachunguze au iundwe TUME
hiyo ni traffic case jamani.
poleni wahanga - wapiganaji wetu.
Hakiwez kua kitendo cha kigaidi bali kinaweza kua cha kihuni. maana hyo gari ilipita moto bati na wanajeshi walukua wametanda njiani wakiwa wanakimbia mchaka mchaka. sasa sielewi kama jamaa alihisi atakua na control au vipi. Ila pia huenda mshaki alikumbia kwa usalama wake maana majeshi wangemshika unafkiri nini kingetokea?????
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom