Wana JF kama kweli ni mwanaharakati uwe makini na VODA kwani ni ya Fisadi RA sasa kama unapanga kukata mirija yake ya unyonyaji atafuatilia kwani Simu zote anasikiliza.Raia kwa Wabunge wanaharakati muachane na VODA msije mkahusika kwenye ajali za kupanga.Maharamia hawa wa ajali za kupanga walipofanikiwa kwa Wangwe sasa wameona ni njia nzuri ya kuwadhuru maadui wao.Hongera kwa aliyetoa Rai ya kuachana na VODA.Mimi naitupa sasahivi na RA ajue ameula wa chuya kwa kufuatilia mawasiliano ya watu.Serikali itaharibu sekta ya mawasiliano kama itawaachia Mafisadi wawe kama mashushushu kwenye mitandao ya simu za mkononi.