Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
170
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti
 
mwamfupe yuko huko alikuwa UDSM, NA SENGINE KIBAO. TATIZO NI WANAFUNZI AU WAHADHIRI?
 
Kilaza ni wewe, hiyo research umefanya mikoa mingapi, wilaya ngapi, kata ngapi? Umetumia methodology ipi? Unafahamu maana ya research au unaongea tu.
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti
acha hizo usiingize siasa kwenye taaluma.acha hasira mabadiliko uchukua mda
 
Kilaza ni wewe, hiyo research umefanya mikoa mingapi, wilaya ngapi, kata ngapi? Umetumia methodology ipi? Unafahamu maana ya research au unaongea tu.

NAHISI NA WEWE NI MMOJA WAPO WA OUTPUT YA UDOM, pole sana reserch nimefanya nchi nzima
 
Kilaza ni wewe, hiyo research umefanya mikoa mingapi, wilaya ngapi, kata ngapi? Umetumia methodology ipi? Unafahamu maana ya research au unaongea tu.
Mkuu najua unakipenda sana chuo chako,lakini ukweli unabaki pale pale UDOM ni sombasomba ya wanafunzi wa aina mbalimbali aliofaulu sana,wastani na kidogo.Wengi wanaojiunga na chuo hicho ni waliokosa UDSM,SUA,MZUMBE,ARDHI UNIVERSITY,MUHIMBILI UNIVERSITY.Najua utabisha sana lakini true will prevail.Jingine ni kuwa uanzishwaji wa UDOM ulikuwa ni wa kisiasa zaidi badala ya kufuata misingi ya kawaida ya uanzishwa wa Vyuo vikuu.Kwa mfano uwezi kutaka kutoa PHD wakati chuo hakina PHD holders wa kutosha na wenye uzoefu unaohitajika.kinachohalibu zaidi ni pale wanasiasa wanapojipanga kuakikisha ifikapo 2015 chuo kiwe na wanafunzi 50000 bila kujali miundombinu ya chuo.Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasoma shahada ya uzamili na akafanikiwa kumaliza course work mwaka 2009,lakini cha kushangaza ni kuwa kwa bahati mbaya mbaka leo hii hajapata mwalimu wa kumsimamia disertation yake ili aweze kukamilisha masomo yake.Maana yake ni kuwa chuo kilidahili wanafunzi wa shahada ya uzamili bila ya kujali miundombinu yake.Hii ni aibu kubwa kwa Chuo!!
 
duh ili nalo neno.sasa the way forward...
kuna chuo kikuu cha kilimo kinatarajiwa kuanzishwa huko Butiama tutegemee ini?
 
Kilaza ni wewe, hiyo research umefanya mikoa mingapi, wilaya ngapi, kata ngapi? Umetumia methodology ipi? Unafahamu maana ya research au unaongea tu.

inategemea research yako ni kwa ajili ya matumizi gani. Waajiri wengi hawahitaji academic research bali real life research kitu ambacho wahitimu wengi hawana maana hata hizo academic research ni madesa tu.
 
crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap crap of the highest order.
tupe methodology yako ya data collection? i am sure you devised it your self.
 
duh ili nalo neno.sasa the way forward...
Kuna chuo kikuu cha kilimo kinatarajiwa kuanzishwa huko butiama tutegemee ini?

tutalaJie uozo uleule tu mkuu!cha msingi ni kuwaachia wanataaluma wafanye maamuzi yanayohitaji weledi na wanasiasa wafanye siasa!!
 
kama huna data una right ya kufanya,watu mnajifanya great thinkers kumbe hamna tofauti na wanawake wa uswahilini,atleast tungejua we ni nani ulieleta hii mada,sasa hatukujui we nani na wala hujatuletea evidence/data,source...its a crap that aint even worth commentin on. KINA MAKAMBA WAKO WENGI SANA NCHI HII.
 
kama huna data una right ya kufanya uzushi,watu mnajifanya great thinkers kumbe hamna tofauti na wanawake wa uswahilini,atleast tungejua we ni nani ulieleta hii mada,sasa hatukujui we nani na wala hujatuletea evidence/data,source...its a crap that aint even worth commentin on. KINA MAKAMBA WAKO WENGI SANA NCHI HII.
 
Fanya tena hiyo research ndio uje uiweke tena hapa maana hiyo uliyonayo nadhani either ulikuwa umelewa wakati unaifanya au kichaa alikupatia makaratasi yanayoonesha data hizo nawe ndio ukaleta hapa
 
huyu jamaa ni mshabiki kweli, badala ya kuja na mada ya unemployment ya TZ,anakuja na unemployment ya wahitimu wa UDOM,..nakushauri ukatangaze kipindi cha jahaz la clouds fm,coz hauna tofauti na kibonde,tabia zenu za kucoment out of nowhere,..TALK ABOUT RATE OF UNEMPLOYMENT IN TZ AND THEN U CAN NARROW IT TO CERTAIN INSTITUTIONS.
 
kila mtu anaruhusiwa kuzusha mambo akikosa jambo la maana la kutolea mada

apo umenena. ndo uhuru wa JF kwamba kila m2 anaweza kujisemea vi2 asivyo na ushahidi navyo!
kuna mtu apo juu kadai lengo laUDOM ni kudahili wanafunzi elf 50 by 2015. cjui amepata wapi hii figure
mtu huyo2 anadai Udom kwa vilaza!
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti
Hatufanani we fisadi mi mtoto wa mkulima sina chaguo nachaguliwa kwako elimu bora mi bora elimu ila badala ya kujadili mambo muhimu yanayoikumba taifa kama umasikini, maradhi na ujinga tunaanza kukukomoana wenyewe na kukatishana tamaa kwani unakuwa mgeni katika taifa lako mwenyewe kama vile aujui mwandani wa Tanzania.
Ila Asante kwani unaonesha unachuki binafsi ya Elimu za kata ila sisi hatuna kimbilio watoto wa masikini japo kwa elimu hii ndogo ndio inayotupa machungu kutafuta haki yetu kwani hatufanani nao
 
Hivi hao wahitimu wa UDOM anaowazungumzia huyu ndugu si wametoka juzijuzi tu hapa, hii research kaifanya lini huyu ndugu.
 
Back
Top Bottom