Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

Tatizo la ajira ni la kitaifa na sio la UDOM tu acha use.nge tuambie umetumia methodoogy gani?
 
wacha matusi wewe udsm kipo nafasi ya 6 afrika .naomba uache bangi zako za kukurupuka kijana
 
Mtoa mada asante kwa kutuonesha kuwa upeo wako wa kufikiri ni mdogo..

Nimehitimu UDOM mwaka 2012 tar 30 june . Tar 15 mwezi wa saba 2012.nikaajiriwa.
 
si kweli kwa sababu tatizo la ajira ni la nchi nzima, waathirka ni vyuo vyote hakuna cha udsm,sua wala mzumbe wana kibao wako kitaa. lakini pia wingi wa wasomi na nafasi zinazokuwa created ni chache, hata hivyo omba mungu usijari.
 
Ukwel utabaki elimu ya udom n nyepesi compered na vyuo vngne km udsm,sua ata ifm,kuna tangazo liliwaig kutoka la ajira ila likasema "exclude udom"udom amna comptition hata wahitim wao sio competent,,na wanaopata ajira n kwa kubwebwa na watu wao!!udom inatakiwa ku improve km chuo kikuu na sio chuo cha kata kama inavyosemwa!
 
Back
Top Bottom