Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

wanajf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza udom bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na udom walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa kata) hivyo understanding bado iko chini
3. Kwa ujumla elimu ya udom iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini udom ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

Naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti

asee namba tatu na nambamoja ndo tatizo nahisi hapo chuo cha kata cha dodoma(ckd)
 
Mi ni mwanafunzi wa Udom.. Ila mpaka now naingia mwaka wa tatu ila sijajutia kuchaguliwa udom........ Na nimepata ajira(IT) kabla ya kumaliza chuo.... Kujituma ndo cha muhimu tu aijalishi unasomea chuo kipi....
 
Mbona ajira ni kama hamna kabisa hapa Tanzania? Au unasema ajira gani? Hizi tano za utumishi? au mbili za kampuni binafsi?
 
watu wengi wanatamani kusoma udom ila hawakupata nafasi na ndo mana kila kukicha maneno ya kejeli hayaishi dhidi ya udom,ina mana hiyo asilimia 80 ya vijana wasio na ajira wote ni udom?wew unayesema umefanya utafiti unaweza ukatuletea iyo taarifa ya utafiti wako tuisome?binafsi nafurahia kupita udom katika historia yangu ya kitaaluma,na wew unayesema udom ni vilaza sawa,ila ndo tushamaliza chuo na novemba karibu kwenye mahafali na kazi tutapata inshaallah.
 
Akili za sisimizi!!unalewa viloba unakuja kumwaga uhalo wako hapa jf
 
Hiyo dissertation iliyokosa msimamizi inahusu nini,? kama anataka awe bingwa wa UMBEA automatically hatapata msimizi!
 
hakuna anayataka ubingwa ila nakerwa na wote wanajifanya bright kuliko wenzao,uwezi ukaita watu na akili zao vilaza afu tukufurahie.
 
nandugu zangu wawili...wahitimu udom, mmoja yupo UN, mwingine yupo TRA wana fanya kazi sasa sijui utafiti wako ume ufanya vipi.
 
Watakuwa wamefundishwa kujiajiri. Kwani kila anaemaliza lazima akaajiriwe?
Kwanza ajira zenyewe ngumu ngumu siku hizi.

una akili sana wew dada. Waache waendelee kubishania kuwa watumwa wakati wenzao wakiukosa huo utumwa baada ya mda watafocus kuwa watwana then tukutane fainali baada ya miaka kadhaa tutajua nani alitoka wapi ikawaje na nini alichovuna.
 
Kuajiriwa ni GPA yako tu haijalishi umesoma UDOM au UDSM. sometimes ujuzi wa mambo pia unachangia. Kuna watu kibao wamemaliza UDSM na bado kazi hawana na miaka inaenda tu.
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini? 1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm! naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti
mpuuzi mkubwa kilaza ni wewe huwezi hata kujilinganisha na watu wa udom ungeonyesha ni jinsi gani wewe uko competency ndio useme kuwa udom iko chini kama unabisha naomba uonyesha matokeo yako ya form six ulipata ngapi ndio useme acha kukurupuka.
 
We wawapi? Nahisi hata mtaani kwako wanakuogopa kwa umbea wako looh! Eti utafiti!! next time usirudi hapa na huo utafiti wako wa kinafki! Fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Kwa staili hii naogopa kama vijana tutaisaidia hii nchi isonge coz tunadili na watu na sio issues n matters
 
huyo sizan ka kafika hata form 6. ka kafika chuo na hisi alidesa.he judge vlaza, ana uhakika? a dsplay result zake.
 
weweeee acha uswahili aisee mbona wengi wana kazi? We una elimu gani? Maana wenye kujielewa huwa hawaongei hivyo! Umekosa hekima ya kiMungu vilaza uliumba? Hapo we mwenyewe hujajielewa unahanja hanja tu! Kwanza waongea sana ndo walee waliokosa kazi! Badala ufanje kazi unakaa unaandika ujinga tuuuuuu! Via acha umbea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom