Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

Siku hizi hakuna "maseleka" shuleni,Form 4 unakuta ni umri wa miaka 16&17.

Watu walichoma shule kisa umepikwa ugali siku ya wali tena shule ya O-Level tu.😁.
 
Kama madai yao ni ya msingi wangeyapeleka Kwa mkuu wa shule, Hata hivyo naona umeileta habari hii kishabiki unaweza kuwa ni mwalimu hapo na una una ugomvi na mtaalum
Kiongozi unaongea namimi kweli au umechanganya madesa .......? Umenielewa kweli,? 😂😂😂

Note: nimewahi kuwa mwanafunzi ,nikawa kuruta na saivi sihusiani na ualimu.

ila hao wanafunzi pamoja na yote ....wana utovu wa nidhamu.
Pili ,mwanafunzi ni kama kuruta ,"hanaga haki japo ana haki."
 
Back
Top Bottom