hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,522
- 73,730
tutaliokotaTaifa linapotea hili
tutaliokotaTaifa linapotea hili
Mchumba karudi? Mengine achana nayoTangu Matokeo ya Kidato cha sita yatangazwe na Jangwani Kufanya Vibaya.
Na vyombo vya habari kwenda na kuhoji wanafunzi mbalibali na Walimu takribani 39 kuhamishwa.
Imebainika ya kwamba,sasa wanafunzi hao kila wapitapo na sketi zao za Rangi ya Chungwa .Wanaonja chungu ya Zomeazomea mitaani ..
Hi imetokea baadhi ya mitaa ya Kariakoo na Kimara na kwingineko.
Vijana hasa wa Bodaboda wanazomea wakisema.
Haooooo mmefeli kwa jili ya uhuni..n.k
Jamani .
Jamii lazima kwa pamoja tukemee suala hili.
Kwani pamoja na Kufeli kwao kusababishwa na Mambo mbalimbali.
Lakini hatupaswi kuachia hali hii kuendelea Kwani tutasababisha Msongo kwa wasichana hawa na kujisikia wanyonge..
Cha ajabu.Waliofeli wapo majumbani wametulia. Na wasichojua ni kwamba Mork ya Form 4 iliyofanyika hivi karibuni.Jangwani Imeshika no.1 kimkoa.
Kwa hiyo sio kwamba kufeli kwa form 6,wa hapo shule lawama na kejeri wapewe wanafunzi wote.
Jamii isaidie kukemea wale wote watakaonekana wakiwakosesha Raha wanafunzi hawa.
Binafsi nilifanikiwa kukutana na baadhi ya wanafunzi wa hapo na wakanielezea madhira wanayokutana nayo kwa sasa baada ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari Na wengine wanajisikia Soni kivaa sketi hizo(Rangi ya chungwa)
Cha ajabu waandishi wa habari mazuri ya Jangwani hawayavumishiii Bali wanavumisha mabaya.
Ikumbukwe mwaka 2016,Azania Shule jirani na Jamgwani ya Boys ilishika mkia matokeo ya form 6 ikapelekea Mkuu wa shule kushushwa cheo na wengine kuhamishwa kama ilivyotokea kwa Jangwani..
Lakini mwaka huu Azania kimkoa (Dar)imeshika no.1 hatujaona waandishi wa Habari au viongozi wakipongeza.Na kuna watu wengi wakijua sifa ya Zamani kwamba Azania ni ya Kufeli tu kwa sasa.
Cha kujifunza hapa ni kwamba Watu wanaweza wakafanya makosa Leo wakajifunza au kujirekebisha kesho.
Mfano.Walimu wamehamishwa Jangwani kwa kuwa form 6,wamefeli
Lakini ni Walimu haohao walioiwezesha Jangwani kushika nafasi ya 1 kimkoa kwa Morck kwa form 4(kumbuka Morck ni kipimo kizuri kwa matokeo ya Kitaifa)
Watanzania Tukemee tabia mbaya inayomea miongoni mwetu Na tupende kupongeza pale tunapoona Wenzetu wamefanya vyema.
Tukosoe kwa nia ya kurekebisha Na Si kwa lengo la Kunyanyasa Na kudhalilisha.
(Character assassination) Ni mbaya sana kwenye jamii hupelekea hata watu kujinyonga.
Let us Change our Mentality for our Better Generation.
Changes begins with you.!!
HapanaWaache umalaya.
Hivi kidoti nae kasoma jangwani?
Umesoma nae mkuu?Hapana
Kasoma St Anthony
Ninayo sema jinsi ya kupost hapa ni tatizo. Pia for the sake of issues siwezi post hapaLeta
Mkuu this is JF .... Dont be afraid..Ninayo sema jinsi ya kupost hapa ni tatizo. Pia for the sake of issues siwezi post hapa
Kabisa.Hili jambo ni hatari.
Kuna baadhi ya wanafunzi jana walikutwa wamekaa mahali ili giza liingie ndo waende shuleni...
Ni kweli!Kuwakosoa ni sawa ila hayo mengine ni kuwaharibu kisaikolojia na hii itawafanya hata wanaosoma hapo sasa kupoteza munkari/morali ya kusoma so mnaweza pata matokeo mengine mabovu tena mwakani simoly kwa sababu hiyo shule mumeiwekea picha mbaya.
HapanaWaache umalaya.
Hivi kidoti nae kasoma jangwani?
NakaziaDhana mbaya sana.
Wanasema eti kwa kuwa ilikuwa shule inayofanya vizuri kwa form 6 why wafeli now??
Ndo mana wanahamisha.. But kuna facto rs nyingi za Kufeli..
1.wanafunzi wenyewe kutozingatia masomo(Nidhamu)
2.malezi
3.Jamii inayowazunguka
4.Lazima mwanafunzi mwenyewe ajitathmini.Afuatilie masomo.Ajitahidi kuwa Na materials mbalimbali.Awe msumbufu kwa Walimu kuwafuata pale asipopaelewa.
Kwa hiyo.Ni lazima mambo hayo yafuatwe.Pia kutojihusisha Na mahusiano wakati wa kusoma.Hasa kwa hawa wa Sekondari.
Amini Usiamini.Mapenzi Na masomo ni Hatari sana kwa ustawi wa afya ya Elimu.
Labda kwenye hyo mockWanaathirika sana.Na kumbuka wengi wanaozomewa ni O level Na wanafanya vizuri sana Kitaifa.
Halafu kutwa uko busy kumlaumu Magufuli anavyoendesha nchi wakati nchi imejaa mijitu ya hovyo kama wewe!

Muunganiko wa azajangwa aisee..ukiwa huna akili utageuzwa bazoka hadi akili ikukae sawaSuala ni kuwa hawa watoto wanakutana na changamoto nyingi za kumaadili. Kuna wanafunzi wa Muhas, wafanyakazi wa mall, azaboy, Mara DIT Tambaza halafu kuna zile hostel maeneo ya jangwani hapo. Bado zile ibada zao za pamoja na boys. Then. Hao advance ni wakubwa wanavutia hadi wafanyakazi vijana mabazazi.
Pia maadili pale shuleni so makali sana nilihudhuria graduu 2014 niliona kitu amabcho sikukitegemea ktk shule kama ile
Kwenye maadili naunga mkono..Jangwani ya sasa iko ovyo sana kimaadili..Suala ni kuwa hawa watoto wanakutana na changamoto nyingi za kumaadili. Kuna wanafunzi wa Muhas, wafanyakazi wa mall, azaboy, Mara DIT Tambaza halafu kuna zile hostel maeneo ya jangwani hapo. Bado zile ibada zao za pamoja na boys. Then. Hao advance ni wakubwa wanavutia hadi wafanyakazi vijana mabazazi.
Pia maadili pale shuleni so makali sana nilihudhuria graduu 2014 niliona kitu amabcho sikukitegemea ktk shule kama ile
NakaziaKufeli kwa jangwani ni uzembe wa mkuu wa shule aliwaachia sana advance pale hostel watoto wanaishi kama wako university! Mpaka wajiuliza wanatoka mda wote,wanashika simu muda wote,simu hawakatazwi yaani tafrani tupu!
Kweli kabisaa vile kuwazomea inawaumiza sana kisaikolojia...mbona Azania hawakua wanawazomea!Hata kama wamefanya vibaya mbele za watu, wao sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho. Si vizuri Jamii kuwahukumu kwa kuwazomea hivi, badala yake kuwasaidia.
Two wrongs don't make a right.