D
Deleted member 485868
Guest
O level St AnthonyHapana
Kasoma St Anthony
A level loyola
O level St AnthonyHapana
Kasoma St Anthony
Umeona eeh!mkuu wa shule wa sasa yule mama ni sista duu mpk kwa watoto yaani yuko busy na mambo yake anawachukulia advance kama watu wazima hawakatazi chochote kile...kwa kweli bora yule mama wampeleke kungine pale aje mwingine ila pale hapamfai kwa sasa...Nakazia
YaapO level St Anthony
A level loyola
Kweli kabisaa vile kuwazomea inawaumiza sana kisaikolojia...mbona Azania hawakua wanawazomea!
Mbona sjule ya kwanza kitaifa kibaha,,naskia wanatoka muda wowote,, sim kama kawa,,, yan wako free mnoKufeli kwa jangwani ni uzembe wa mkuu wa shule aliwaachia sana advance pale hostel watoto wanaishi kama wako university! Mpaka wajiuliza wanatoka mda wote,wanashika simu muda wote,simu hawakatazwi yaani tafrani tupu!
Kufeli kwa jangwani ni uzembe wa mkuu wa shule aliwaachia sana advance pale hostel watoto wanaishi kama wako university! Mpaka wajiuliza wanatoka mda wote,wanashika simu muda wote,simu hawakatazwi yaani tafrani tupu!
Mkuu uko vizuriO level St Anthony
A level loyola
Na kingine. Naona walimu wa nidhamu ni wa ovyo..matron nae atakua waovyo..nakumbuka enzi zile kulikua na matron huyo eti uage kwenda mjini aruhusu kizembezembe subutuuu...na akikupa ruhusa akisema mda flani uwe hapa alikua anaongea kwa kumaanishaUmeona eeh!mkuu wa shule wa sasa yule mama ni sista duu mpk kwa watoto yaani yuko busy na mambo yake anawachukulia advance kama watu wazima hawakatazi chochote kile...kwa kweli bora yule mama wampeleke kungine pale aje mwingine ila pale hapamfai kwa sasa...
Wanafunzi mda wote wako mjini wanarudi mda wanaotaka wao...!!hapana kwa kweli!
Hahaha..kwema?Mkuu uko vizuri
Tofautisha kibaha na jangwani!halafu kibaha wanaenda best studentsMbona sjule ya kwanza kitaifa kibaha,,naskia wanatoka muda wowote,, sim kama kawa,,, yan wako free mno
Wanaingia nazo!I hope hawaachiwi simu darasani..
Hata jangwani si best students jamani au?Tofautisha kibaha na jangwani!halafu kibaha wanaenda best students
Kwema mkuu, habari za huko ulipo? Kidoti hajambo?Hahaha..kwema?
Uku kwemaKwema mkuu, habari za huko ulipo? Kidoti hajambo?
Haaa haaa Kwani alienda wapi??Mchumba karudi? Mengine achana nayo

Point of Correction Ni ya Kwanza Kiwilaya.Ninayo sema jinsi ya kupost hapa ni tatizo. Pia for the sake of issues siwezi post hapa
NasahihishaMkuu this is JF .... Dont be afraid..
Post the list p'se.
Watu wengi hawajaligundua.. Na wasichojua ni kwambaAiseeh!, hii ni Harassment..
Kusubiri giza liingie ndo watoke ili wasionekane tayari wamesha athirika kiakili.
Wameshapandikizwa Uoga, as a result, Ujasiri umepungua. Haitakuwa ajabu baadhi yao wakaomba kuhamishwa shule kwa Uoga.
Kitu ambacho kitawarudisha nyuma kwa kiasi.
Seen!Nakazia