Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

zomea zomea zinawajenga na kuwapa hasira ya kufanaya vizuri zaidi maana bila hivyo watajisahau, zote ni mbinu tuuu
 
Wanafunzi wa zama hizi wana kazi sana katika suala zima la masomo maana huu usasa umeharibu wengi.. baba busy jf, mama busy ig, mtoto busy fb, mwalimu busy twit, fb, ig na snap... lol pole yao but kuwazomea ni kama wamepewa motisha wasijisahau sababu hata mzazi mwanao akifeli unamuadhibu haijalishi kama wewe hukusoma basi na ndio umuache tu afanye atakalo.
 
Hakuna njia rahisi ya jamii kuwasaidia maana hao wamekomaa counseling haitazaa matunda zaidi ya kutumia brutal mechanism kuwasaidia.
 
Best chezeaa lift ww??
Pale karibu na shuleno kwao.zimefunguliwa.mall mbili mambo ya movie utawaambiaa nn??

Ni ndoto ya kila mdada kufaulu jangwani ili avae sketi fupi lols
Bora mi nilijisomeaaga jitegemeee pale ni bakoraa masaa 24 hata ukiwa nje ya shule

Ni wanafunzi lakini uhuni wanauendekeza pia sana...


Cc: mahondaw
 
Nafikiri hii njia ya kuwazomea itawasaidia kupambana, waendelee kuzomewa tuu
 
Jamani nyiye acheni tu nime date na wanafunzi wengi lakin wanafunzi wa jangwani ni mafundi na watamu acheni wafeli tu... Tatizo wanapiga mizinga hao
 
Wao Wenyewe Wana Simu, Wako Bize Mitandaoni. Halafu Wanataka Kufaulu By Means Of Spoon Feeding, Hiyo Haiwezekani Wakazane Kusoma
 
Brand Name /colour ya shule yao ndiyo inayowaathiri negative/positive. Kufuta hali hiyo ya kuzomewazomewa itabidi wajitahidi sana wapate matokeo makubwa kwenye mitihani inayokuja. Kuhusu kuhamisha walimu kwa matokeo mabaya hiyo ni dhana potofu.
Dhana mbaya sana.
Wanasema eti kwa kuwa ilikuwa shule inayofanya vizuri kwa form 6 why wafeli now??
Ndo mana wanahamisha.. But kuna facto rs nyingi za Kufeli..
1.wanafunzi wenyewe kutozingatia masomo(Nidhamu)
2.malezi
3.Jamii inayowazunguka
4.Lazima mwanafunzi mwenyewe ajitathmini.Afuatilie masomo.Ajitahidi kuwa Na materials mbalimbali.Awe msumbufu kwa Walimu kuwafuata pale asipopaelewa.
Kwa hiyo.Ni lazima mambo hayo yafuatwe.Pia kutojihusisha Na mahusiano wakati wa kusoma.Hasa kwa hawa wa Sekondari.
Amini Usiamini.Mapenzi Na masomo ni Hatari sana kwa ustawi wa afya ya Elimu.
 
Back
Top Bottom