gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
- Thread starter
- #101
Saint ivuga:Ukimsalimia msichana akikunyamazie mara tatu.
Utarudia tena?
Mimi msichana akisema hanitaki badi nalala mbele
Angalia na umri.
Watoto wa shule wana utamu gani???
