gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
- Thread starter
- #181
Fatilia O level sio wabaya kivileLabda kwenye hyo mock
Fatilia O level sio wabaya kivileLabda kwenye hyo mock
Lipoje hili jamani .Nimeshtukaa!Muunganiko wa azajangwa aisee..ukiwa huna akili utageuzwa bazoka hadi akili ikukae sawa
Afsa Elimu Ngonyani Ilala muda alitakaga kumtimulia mbali Mkuu wa Jangwani akakingiwa kifua.Mwache aende sasa Goba kata Seco akili ikamkae sawaKwenye maadili naunga mkono..Jangwani ya sasa iko ovyo sana kimaadili..
Yes my dear.Point !Hata kama wamefanya vibaya mbele za watu, wao sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho. Si vizuri Jamii kuwahukumu kwa kuwazomea hivi, badala yake kuwasaidia.
Two wrongs don't make a right.
Jesus Christ!!!Mi naona wanasitahili kabisa kuzomewa, tena wazomewe na kila mtanzania.
Kweli but wengine sio Hata Boda boda.Huwezi Amini mpaka shule zingine wanawazomea.'hiyooo hiyooooo Zerooo zeroooo hayoooSiku zote walioshindwa ndio hucheka wenzao wanaposhindwa..
Watu wenyew wanaowazomea wanafunzi ni bodaboda ambao wao nao walifeli hakuna haja ya kuumia
Unataka kusema??Mbona sjule ya kwanza kitaifa kibaha,,naskia wanatoka muda wowote,, sim kama kawa,,, yan wako free mno
Lakini nasikia walipinda sana.Niliongea mpaka Na mlinzi waoI hope hawaachiwi simu darasani..
Watu wenye Data ZetuMkuu uko vizuri
Kuchunga Mtoto wa kike Ni Tabu Na sanaNa kingine. Naona walimu wa nidhamu ni wa ovyo..matron nae atakua waovyo..nakumbuka enzi zile kulikua na matron huyo eti uage kwenda mjini aruhusu kizembezembe subutuuu...na akikupa ruhusa akisema mda flani uwe hapa alikua anaongea kwa kumaanisha
Ukija upande wa nidhamu nako motoo hakuna kufanya ujinga ujinga
Siku hizi sasa...ovyooo kabisa
Sio kama Kibaha Zikitoka Best Ndo zinafuatia za Akina Jangwani.Hata jangwani si best students jamani au?
Kwa Data hizo lazima ya sasa wayajuaUku kwema
Ya kidoti siyajui

Point kubwa sanaKufeli mitihani ni matokeo kama matokeo mengine. Watanzania ni watu wa ajabu sana mbona sisikii mkiwahoji walioshika namBa 1 walitumia njia gani ili walioanguka wajifunze kwao?
Amiiiin.Hao wanaowazomea hawakufika hata form 1, ujinga wao na kufuata mkumbo tuu. Tukemee udhalilishaji huu
True??kabisa
Unajua Form Six wa Jangwani wengi ni Wa Hostel??Mimi lifti yangu mpaka nikufahamu au nikujue... zaidi ya hapo hapana...
Unajua inakuaje, wanajikuta wanamekutana wanafunzi kutoka shule mbali mbali waliyochaguliwa kujiunga na Jangwani...
Tabia zao zinakua tofauti tofauti, sasa wale waliotoka na tabia za ujanja ujanja wa kihuni kwingine hutumbukiza wenzao kwenye uhuni...
Wengi hata hawafuatwi fuatwi, wao ndiyo hufuata fuata, kujichelewesha vituoni bila sababu... kupenda lifti za watu wasiyowajua...
Cc: mahondaw
Habari mpya kwangu.Ilikuwa je?Nje ya Mada: Yule mtoto wa Kitwana Kondo ambaye mzee Ruksa alijitwalia hivi si alikuwa anasoma Jangwani eeee!!!!