gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
- Thread starter
- #41
Angekuwa mwanao ungefurahi??Wazomewe tu
Angekuwa mwanao ungefurahi??Wazomewe tu
Point sana hii.Chakushangaza hao wanaowazomea wenyewe pia ni failure!
Sio kitu kizuri kwa sababu wanawaharibu kisaikolojia.
Kufeli sio kitu cha ajabu kwani hata hao walioanza kurusha ndege huko angani walikumbana na changamoto kibao ila sasa ndege zinapaa vizuri tuu na kutua.
Sio sawa.Ni kosakuzomewa iwe chachu ya kufanya vizuri
Je hakuna njia nyingine nzuri??Wale watoto hawana maadili sare za vimini mie nona sahihi kuzomewa tu
Sana.Ni Maajabu ya 7 ya Dunia.Watanzania ni watu wa ajabu sana!
Aiseeeee!Pale mambo yanapornda vibaya si dhambi kuzomelewa! Na pale yanapienda vema si dhambi kupongeza!
Hiyo ndio asili ya tabia ya mwanadamu!
Yatapita tu hayo yanayoendea sasa. La msingi waweke bidii katika masomo ili mwakati washangiliwe na si kuzomewa tena!
Sanawanawatoa katika mstari watajiona vibaya
Wewe ni wa kutafutwaJamani nyiye acheni tu nime date na wanafunzi wengi lakin wanafunzi wa jangwani ni mafundi na watamu acheni wafeli tu... Tatizo wanapiga mizinga hao
Mawazo haya sio mazuriNafikiri hii njia ya kuwazomea itawasaidia kupambana, waendelee kuzomewa tuu
Ndo wazewe hata wasiohisika??Wao Wenyewe Wana Simu, Wako Bize Mitandaoni. Halafu Wanataka Kufaulu By Means Of Spoon Feeding, Hiyo Haiwezekani Wakazane Kusoma
Hatari sana hiingoja na mimi nikang'oe chuchu kwenzi
Kweli kabisaMTU ALIYEFAULU HAWEZI KUMZOMEA ALIYEFELI, MASKINI MNA KAWAIDA YA KUTOPENDANA
Wanaowapa lift wakemeweBest chezeaa lift ww??
Pale karibu na shuleno kwao.zimefunguliwa.mall mbili mambo ya movie utawaambiaa nn??
Ni ndoto ya kila mdada kufaulu jangwani ili avae sketi fupi lols
Bora mi nilijisomeaaga jitegemeee pale ni bakoraa masaa 24 hata ukiwa nje ya shule
Wanaathirika sana.Na kumbuka wengi wanaozomewa ni O level Na wanafanya vizuri sana Kitaifa.Wanafunzi wa zama hizi wana kazi sana katika suala zima la masomo maana huu usasa umeharibu wengi.. baba busy jf, mama busy ig, mtoto busy fb, mwalimu busy twit, fb, ig na snap... lol pole yao but kuwazomea ni kama wamepewa motisha wasijisahau sababu hata mzazi mwanao akifeli unamuadhibu haijalishi kama wewe hukusoma basi na ndio umuache tu afanye atakalo.
Yaani zomeazea ndo watabadilika??Hakuna njia rahisi ya jamii kuwasaidia maana hao wamekomaa counseling haitazaa matunda zaidi ya kutumia brutal mechanism kuwasaidia.