Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Bodà boda wa darasa la saba,akiwà juu ya piki piki ya boss anamzomea mtoto wa form 6
Halafu kutwa uko busy kumlaumu Magufuli anavyoendesha nchi wakati nchi imejaa mijitu ya hovyo kama wewe!Toka nifanye group sex na warembo wajagwani nimekubali kuna shule zina wahuni
Swali Tatanishi hili.Si unajua Nina makesi kibao humu hunitakii mema!!Niambie kwanza hapa JF huwa unamtamani nani!

Hawajielewi elewi.Unamzomea mwenzio ili maisha ayaone magumu Badala ya kumfariji.Halafu iwe Kweli unayemzomea ndo huyo mwenye kosa.Mwenye kosa katulia tuli.mkuu Acha tu wanaozomea nao ni shida tu
Maajabu ya Dunia kwelikweliBodà boda wa darasa la saba,akiwà juu ya piki piki ya boss anamzomea mtoto wa form 6
Maajabu ya Dunia kwelikweli
boda boda akili yao wanaielewa wenyeweAiseee.Sijakuelewa.Watu hata waziri anaongea tu, ile shule nyingi za serikali za Dar zote ni kama za kata tu kutokana na aina ya wanafunzi wanaowapokea, hakuna mchanganyiko kama shule za Ilboru, wanafunzi wote ni wale wanaotoka magomeni na mwananyamala uswahilini
Si kuona wakilisema hili.Tatizo limechukuliwa kisiasa zaidi; na unapotatua tatizo basi tatua kwa nchi nzima; kifupi walimu wa shule za umma wanafanya kazi katika mazingira magumu sana - posho kiduchu. Lipeni pesa watu wapige kazi mambo ya kujitolea hayapo kwani na sisi walimu tuna watoto tunasomesha na wana mahitaji pia kama ya watoto wenu.
Pole sana Jangwani haiko hata top twenty ya mock ya Mkoa kipato cha 4 kwa 2018. Ya kwanza ni Bright Future Girls Secondary School ikifuatiwa na Canossa. Ngoja nivae miwani niangalie vizuri hii list ya top 20 schools DSMTangu Matokeo ya Kidato cha sita yatangazwe na Jangwani Kufanya Vibaya.
Na vyombo vya habari kwenda na kuhoji wanafunzi mbalibali na Walimu takribani 39 kuhamishwa.
Imebainika ya kwamba,sasa wanafunzi hao kila wapitapo na sketi zao za Rangi ya Chungwa .Wanaonja chungu ya Zomeazomea mitaani ..
Hi imetokea baadhi ya mitaa ya Kariakoo na Kimara na kwingineko.
Vijana hasa wa Bodaboda wanazomea wakisema.
Haooooo mmefeli kwa jili ya uhuni..n.k
Jamani .
Jamii lazima kwa pamoja tukemee suala hili.
Kwani pamoja na Kufeli kwao kusababishwa na Mambo mbalimbali.
Lakini hatupaswi kuachia hali hii kuendelea Kwani tutasababisha Msongo kwa wasichana hawa na kujisikia wanyonge..
Cha ajabu.Waliofeli wapo majumbani wametulia. Na wasichojua ni kwamba Mork ya Form 4 iliyofanyika hivi karibuni.Jangwani Imeshika no.1 kimkoa.
Kwa hiyo sio kwamba kufeli kwa form 6,wa hapo shule lawama na kejeri wapewe wanafunzi wote.
Jamii isaidie kukemea wale wote watakaonekana wakiwakosesha Raha wanafunzi hawa.
Binafsi nilifanikiwa kukutana na baadhi ya wanafunzi wa hapo na wakanielezea madhira wanayokutana nayo kwa sasa baada ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari Na wengine wanajisikia Soni kivaa sketi hizo(Rangi ya chungwa)
Cha ajabu waandishi wa habari mazuri ya Jangwani hawayavumishiii Bali wanavumisha mabaya.
Ikumbukwe mwaka 2016,Azania Shule jirani na Jamgwani ya Boys ilishika mkia matokeo ya form 6 ikapelekea Mkuu wa shule kushushwa cheo na wengine kuhamishwa kama ilivyotokea kwa Jangwani..
Lakini mwaka huu Azania kimkoa (Dar)imeshika no.1 hatujaona waandishi wa Habari au viongozi wakipongeza.Na kuna watu wengi wakijua sifa ya Zamani kwamba Azania ni ya Kufeli tu kwa sasa.
Cha kujifunza hapa ni kwamba Watu wanaweza wakafanya makosa Leo wakajifunza au kujirekebisha kesho.
Mfano.Walimu wamehamishwa Jangwani kwa kuwa form 6,wamefeli
Lakini ni Walimu haohao walioiwezesha Jangwani kushika nafasi ya 1 kimkoa kwa Morck kwa form 4(kumbuka Morck ni kipimo kizuri kwa matokeo ya Kitaifa)
Watanzania Tukemee tabia mbaya inayomea miongoni mwetu Na tupende kupongeza pale tunapoona Wenzetu wamefanya vyema.
Tukosoe kwa nia ya kurekebisha Na Si kwa lengo la Kunyanyasa Na kudhalilisha.
(Character assassination) Ni mbaya sana kwenye jamii hupelekea hata watu kujinyonga.
Let us Change our Mentality for our Better Generation.
Changes begins with you.!!
ni upeo mdogo mkuu mtu anayejielewa hawezi kufanya ujinga kama huoHawajielewi elewi.Unamzomea mwenzio ili maisha ayaone magumu Badala ya kumfariji.Halafu iwe Kweli unayemzomea ndo huyo mwenye kosa.Mwenye kosa katulia tuli.
Tulia wewe,usinipangie maisha binafsi. Huyo Magufuli akianika maisha yake binafsi utadata. Achana na mastori ya waziri wa kikeHalafu kutwa uko busy kumlaumu Magufuli anavyoendesha nchi wakati nchi imejaa mijitu ya hovyo kama wewe!
tuwekee yako ya f4 angalau

hahaaaahayooo yamepata zirooooooo!
LetaPole sana Jangwani haiko hata top twenty ya mock ya Mkoa kipato cha 4 kwa 2018. Ya kwanza ni Bright Future Girls Secondary School ikifuatiwa na Canossa. Ngoja nivae miwani niangalie vizuri hii list ya top 20 schools DSM
KabisaNi upeo md
ni upeo mdogo mkuu mtu anayejielewa hawezi kufanya ujinga kama huo
MmmmmhTulia wewe,usinipangie maisha binafsi. Huyo Magufuli akianika maisha yake binafsi utadata. Achana na mastori ya waziri wa kike
Taifa linapotea hiliwakifanya vyema " wasifiwe"",wakiboronga" wazomewe"", tu " hakuna_" namna"" Kama wanaakili" wataichukulia" hiyo Hali " Kama" changamoto" inayowakumbusha"" kufanya vyema"" ...
kuzomewa"" wanazomewaga"" kina" cr7 na messi. wanapofanyaga" vista"" wao waachwe"" wamekuwa" kina Nani""?""' nasema hiviiiiii"" wazomewe" tu... Hakuna mamna""