ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,264
- 4,702
Duh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live