Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
Basi na wanafunzi wote Tanzania wavalie sare shule kwao sio kutembea nazo mtaani
Hahaha...!!! fact..Basi na wanafunzi wote Tanzania wavalie sare shule kwao sio kutembea nazo mtaani

😀😀 hahahahahahah avae hata cha bima ya afyaKwan Kuna tatizo mkuu!!!
au ww wanakukera nn waache wavae c vyao na ww vaa chako hata cha Bima ya afya vaa c chako
Duh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live
Mkuu hii kitu "cranial nerve number v" ,ya kwako ni branch kati ya zile tatu,mandibular,maxillary au,au,au....!!!???Hahaha...!!! fact..![]()
![]()
Trigeminal division 1. ophthalmic.Mkuu hii kitu "cranial nerve number v" ,ya kwako ni branch kati ya zile tatu,mandibular,maxillary au,au,au....!!!???
Naona umemsaidia mkuu "nerve trigeminus",Trigeminal division 1. ophthalmic.
He will die bse of ignoranciolgy since inferioritology is distubingiology eti! !!!!!Naona umemsaidia mkuu "nerve trigeminus",
Poa .