Kweli ww sio rizki ukikosa wa kukupumulia usiwe unakuja huku hatutak laanatatizo hivo vyuo vinaongoza kwa ush oga , so inawezekana wanafanya hivo ili kutafuta mabwana. Wanaliwa sana
tatizo hivo vyuo vinaongoza kwa ush oga , so inawezekana wanafanya hivo ili kutafuta mabwana. Wanaliwa sana
kasema nyie wengine ni wauza nyamaaunamaanisha nn we pimbi ?😵
Sikupati vizur.kasema nyie wengine ni wauza nyamaa
hiyo itakuwa mijitu ya bara, pwani kwenye ustaarabu thubutu mtu afanye hivyo..Duh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live
HahahahaDuh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live
pwan kuna vyuo vya udaktar... kazi yenu kuuza urojo mkijitahid sna kachorihiyo itakuwa mijitu ya bara, pwani kwenye ustaarabu thubutu mtu afanye hivyo..
Hahahaha noma sana.wivu wa kike..
na wewe vaa kitambulisho cha kura/taifa
pwan kuna vyuo vya udaktar
Nimecheka sana mkuu hapo pa yeye naye avae hata cha bima ya afyaKwan Kuna tatizo mkuu!!!
au ww wanakukera nn waache wavae c vyao na ww vaa chako hata cha Bima ya afya vaa c chako