Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.
Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya kukamata dola. Wanashindwa kuelewa kuwa ili ukamate dola lazima na sera na itikadi zitazo wafanya wananchi kuunga mkono chama chao.
Mfano wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 tulisikia mgombea wa CHADEMA akinadi sera yao juu ya uchimbaji madini, na wao walidai kuwa wataruhusu madini na natural resources kuwa kuwa mali za wawekezaji wa kigeni.
Pia bila hata aibu mgombea wao alinadi juu ya kutoingilia faragha za watu wanaokiuka sheria za nchi yetu kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Kwa sera mbovu na itikadi mbovu kama hizi hata kama tupate katiba mpya hakuna mtanzania ambae atakubali CHADEMA iwe chama dola.